@Mudimabiriani Upo sahihi kabisa. Wanatengeneza mpaka videos tiktok wakielezea fursa zilizopo na namna mtu anaweza kwenda huko. Mfano Canada kuna hadi kazi za kuvuna mashambani wazambia hapo wanapeleka vijana kibao kule na wanarudi na hela ya kutosha
It is not always easy to believe. It was not easy for Thomas, and it is not easy for us either. Faith needs to be nourished and sustained. For this reason, on the “eighth day” — that is, every Sunday — the Church invites us to do as the first disciples did: gather together and celebrate the Eucharist. #GospelOfToday (Jn 20:19–31)
DEAR African men, guard your heart against cheap theology. Gently teach your wife to walk in the ways of the LORD. Love your children and show them how to walk carefully in the world full of luring prosperity preachers. Teach them to look at you even as they choose to follow the LORD. Set a godly example for your home.
Have a happy Easter, kings.
Mwaka 1983 nilihitimu shahada ya Habari na mawasiliano chuo kikuu Makerere Uganda, 1984 nikaajiriwa Radio Tanzania hapo nilifanya kazi kwa miaka 11, baada ya hapo nikapata kazi Mwananchi Newspapers ambapo nilifanya kazi kwa miaka 6.
Kote huko nilifanya kazi kwa weledi na nidhamu ya hali ya juu.
Vijana naombeni mjitume kwa hari na uzalendo mkubwa kazini mpate kufanikiwa.✍️
@__rouselyn__ Hi. Hakuna ukweli wowote kwamba ukiwasha A/C mafuta yanatumika zaidi. Kuna factors kama uzito uliobebwa na gari, joto, rotation za tyres n.k. Hii ya kutumia A/C ni nadharia tuu ambayo imezoeleka hivyo.
@EduTalkTz Waandaji wamejikita sana kwenye masuala ya mapenzi na maisha ya Mtanzania wa kawaida. Kuna mada nyingi zaidi wanazoweza kutumia kutengeneza tamthilia, ikiwemo historia ya taifa letu. Kwa mfn, wanaweza kuonesha maisha ya Julius Nyerere kuanzia harakati zake za kupigania uhuru n.k