@kasesco_tz Watanzania tukianza kutengeneza hizo mashine ulizotaja hautaona mtu anamwita mzungu aje kutengeneza. Maintainance ya Hizo mashine zinahitaji field experience, waliotengeneza hizo mashine ndio wanayo Technology ya kutengeneza zikiharibika, We can't just trust everyone to do that.
@INFLUENCERjr Infantino aliwahi kuichagua Inter Miami kucheza club world cup japo kuwa haikuongoza ligi, na ndio ilikuwa timu pekee kucheza without qualifying, hata bingwa wa ligi yao hakucheza๐, yani jamaa walikuwa tu handpicked. Usipoelewa na hapa wewe basi tena
๐จ๐ OFFICIAL: FIFA president Gianni Infantino has announced that Inter Miami are qualified to Clubsโ World Cup 2025!
Leo Messi and his team will be there. โจ
@MiriamMkanaka Ruto anaongea ukweli mchungu ambao watu hawapendi kuusikia, watu wanataka maisha yawe mepesi while nchi imeelemewa na madeni na haikopesheki, bad luck nchi nyingi za afrika bado zinategemea mikopo kujikimu, wananchi wanataka miujiza, serikali ifanye maendeleo bila kodi ๐๐๐ฎ