VIJANA mlioko humu nawapa angalizo tu kuwa
👉Muwe waangalifu sana na watu mnaojifanya kuwajua na ku interact nao mkidhanini wenzenu
👉Muwe waangalifu sana kujipa umuhimu na urafiki kwa watu msiowajua kwa kukutana nao humu ndani
Mfano nimewapa na mtakuja kunishukuru baadaye sana