Kumbe Cookies za Mtandaoni Haziliwi!
Zinakumbuka mambo yangu, kuanzia login details mpaka vitu ninavyoangalia online.
Zinasaidia kurahisisha matumizi yangu mtandaoni, lakini, eeh! Sio zote ni poa!!
Zingine zakusanya tu info yangu bila ruhusa yangu.
So, kabla ubonyeze ‘accept’, cheki kwanza - hizi cookies zinachota data gani kutoka kwako?
#FichaUchi - Jichunge, Usije Ukachanwa!
Familia Lowassa poleni. Taifa twaomboleza kifo cha Kiongozi STATESMAN. Nilishuhudia ukiweka maslahi ya nchi mbele ya yako. Jina lilipokatwa nilikushauri ubaki CCM kimfumo uwezekano kutangazwa mshindi ukitokea upinzani HAUPO Ukanijibu "UNAJUA
ila hutaki MANYANYASO kuendelea. RIP
Msiba wa Edward Lowasa umetuachia mafunzo yafuatayo
1. Ili uwe mwanasiasa Tanzania unapaswa uwe na sifa zifuatazo
(a)Usiwe na aibu
(b)usiwe na hasira
2. Kuna umuhimu mkubwa sana wa kuweka akiba ya maneno
Lowasa ndiye mwanasiasa aliyetukanwa zaidi kuliko mwanasiasa yeyote Tanzania. Ametukanwa na wanasiasa wa upinzani na ndani ya chama chake.
Pamoja na yote, hakujibu mashambulizi yoyote hata alipopata nafasi ya kufanya hivyo.
Kila alipofatwa na wanahabari kumtaka afafanue tuhuma dhidi yake, yeye alikuwa na jibu moja tu "No comment"
Lowasa alijipatia wafuasi na marafiki wengi enzi za uhai wake ambao walijiita "Friends of Lowasa"
Aliwakirimu marafiki zake hawa kwa kuwaandalia tafrija kila mwishoni mwa mwaka kwenye ranch yake huko Tanga ambako walikula na kunywa.
Marfiki hawa wakawa wakimuahidi kuwa naye bega kwa bega kwenye safari yake ya kisiasa.
Lowasa akaamini kuwa Mbunge Joseph Kasheku Msukuma hataweza kumsaliti kisiasa hata siku moja kwa jinsi alivyokuwa loyal kwake.
Lakini ilikuwaje?
Nani anakumbuka jinsi Msukuma alivyotua kwa mbwembwe kwa helicopter kwenye uzinduzi wa kampeni wa Lowasa jijini Arusha mara tu Lowasa alipojiunga upinzani?
Nani angetabiri kuwa siku chache tu baadae Musukuma angebadili gia angani na kujiunga kambi ya hayati Magufuri?
Tena kwa kumtukana majukwani kuwa "Kajinyea"
Naam!
Ili uwe mwanasiasa mzuri Tanzania, Kosa aibu.
Kambi ya Lowasa ikapata usaliti mkubwa wa Friends of Lowasa.
Siwezi kuwaongelea sana wapinzani waliomshutumu na kumkaribisha kwenye kambi yao.
Walikuwa wanatumia mbinu nzuri ya kiutawala ya "divide and rule" kufikia malengo yao ya kisiasa.
Na hii sio dhambi kwenye wigo wa siasa za maji taka (Gutter Politics)
Walitekeleza vyema kazi yao ya siasa za kukosa aibu.
Lakini at least wao walikuwa wafariji wake wakubwa baada ya Lowasa kutengwa na chama chake, kutengwa na rafiki yake mkubwa, kutengwa na mchakato wa chama chake kumteua kupeperusha bendera yao kwenye mbio za urais.
Wakati wa kampeni, silaha pekee iliyotumika kumshambulia Lowasa ilikuwa ni utimamu wa afya yake.
Walidai Lowasa ni mgonjwa huku Magufuri akipiga push-ups kuthibitisha afya yake bora.
Lakini wananchi kwa mapenzi yao wakasema watamchagua Lowasa akafie Ikulu.
Then what happened?
You all know nani alifia ikulu na kumuacha Lowasa Masaki.
Mungu!
Yes, Mungu alionesha ukuu wake.
Wakongo wana msemo wao:-
"Nzambe se ye apesa moto pema, mokolo akobotola yango se bilelo"
Ikimaanisha "Mungu pekee ndiye amempa mtu pumzi, siku akiichukua ni vilio"
Binadamu tusiwe na kiburi cha uzima.
Leo kina Nape na Makonda wanatamani kusingekuwa na tekinolojia iliyotunza matamko yao wakimkashifu marehemu Lowasa.
Ukiwaangalia sasa watoapo salamu zao za rambirambi unaona kabisa sura zao zimejaa aibu na sauti zao ni kama kelele msibani.
Akiba ya maneno ingewasaidia.
Wao walikuwa wanatumikia matumbo yao wakati ule ili wapate vyeo, mali na madaraka.
They were very myopic to see times like this coming and for that, I beg the deceased's pardon on their behalf.
Lowasa ameacha familia imara.
Nimewajua baadhi ya wanafamilia kupitia harakati za kimaisha.
Kupitia Fred, Lowasa amejiacha duniani.
Fred ni zao la shule ya vipaji maalumu Ilboru. Ni kichwa kwelikweli.
Fred hakupumbazwa kabisa na utajiri wa baba yake pamoja na kuwa msimamizi mkuu wa biashara za baba yake.
Ameendelea na ataendea kuwa mnyenyekevu, msikivu, mkimya na asiyependa kuonekana sana kwenye vyombo vya habari ingawa alikuwa na nafasi hii.
Natoa kisa kimoja,
Siku moja nilikuwa maeneo ya Upanga maeneo fulani hivi wanauza burger.
Ni eneo la kawaida na liko barabarani.
Nikiwa pale, Ada akapita na gari lake (I guess alikuwa anaenda kazini kwani alikuwa daktari Mhimbili)
Akaniona..
Akapaki pembeni, akashuka, tukasalimiana na kupiga michapo miwili mitatu akaondoka.
Mimi kichwani nikawa najiuliza, Kweli kabisa mtoto wa waziri mkuu mwingine can waste her time for an ordinary, clueless, and colorless paratrooper?
@masoudkipanya TUNATENGENEZA SHADE(CAR PARKING),MAGETI,OIL RACKS,MADIRISHA,BALCONY,VITANDA VYA CHUMA NA MILANGO YA CHUMA YA KISASA BEI ZETU NI NAFUU SANA TUNAUWEZO WA KUFANYIA KAZI SITE KWAKO PIA KWA GHARAMA NAFUU SANA
DM us for business
☎️ Call / Whatsapp 0672715959
@SuluhuSamia TUNATENGENEZA SHADE(CAR PARKING),MAGETI,OIL RACKS,MADIRISHA,BALCONY,VITANDA VYA CHUMA NA MILANGO YA CHUMA YA KISASA BEI ZETU NI NAFUU SANA TUNAUWEZO WA KUFANYIA KAZI SITE KWAKO PIA KWA GHARAMA NAFUU SANA
DM us for business
☎️ Call / Whatsapp 0672715959
@MiriamMkanaka TUNATENGENEZA SHADE(CAR PARKING),MAGETI,OIL RACKS,MADIRISHA,BALCONY,VITANDA VYA CHUMA NA MILANGO YA CHUMA YA KISASA BEI ZETU NI NAFUU SANA TUNAUWEZO WA KUFANYIA KAZI SITE KWAKO PIA KWA GHARAMA NAFUU SANA
DM us for business
☎️ Call / Whatsapp 0672715959
@MiriamMkanaka TUNATENGENEZA SHADE(CAR PARKING),MAGETI,OIL RACKS,MADIRISHA,BALCONY,VITANDA VYA CHUMA NA MILANGO YA CHUMA YA KISASA BEI ZETU NI NAFUU SANA TUNAUWEZO WA KUFANYIA KAZI SITE KWAKO PIA KWA GHARAMA NAFUU SANA
DM us for business
☎️ Call / Whatsapp 0672715959
@YoungAfricansSC TUNATENGENEZA SHADE(CAR PARKING),MAGETI,OIL RACKS,MADIRISHA,BALCONY,VITANDA VYA CHUMA NA MILANGO YA CHUMA YA KISASA BEI ZETU NI NAFUU SANA TUNAUWEZO WA KUFANYIA KAZI SITE KWAKO PIA KWA GHARAMA NAFUU SANA
DM us for business
☎️ Call / Whatsapp 0672715959
@YoungAfricansSC TUNATENGENEZA SHADE(CAR PARKING),MAGETI,OIL RACKS,MADIRISHA,BALCONY,VITANDA VYA CHUMA NA MILANGO YA CHUMA YA KISASA BEI ZETU NI NAFUU SANA TUNAUWEZO WA KUFANYIA KAZI SITE KWAKO PIA KWA GHARAMA NAFUU SANA
DM us for business
☎️ Call / Whatsapp 0672715959
@nyuki_malkia TUNATENGENEZA SHADE(CAR PARKING),MAGETI,OIL RACKS,MADIRISHA,BALCONY,VITANDA VYA CHUMA NA MILANGO YA CHUMA YA KISASA BEI ZETU NI NAFUU SANA TUNAUWEZO WA KUFANYIA KAZI SITE KWAKO PIA KWA GHARAMA NAFUU SANA
DM us for business
☎️ Call / Whatsapp 0672715959
@diamondplatnumz TUNATENGENEZA SHADE(CAR PARKING),MAGETI,OIL RACKS,MADIRISHA,BALCONY,VITANDA VYA CHUMA NA MILANGO YA CHUMA YA KISASA BEI ZETU NI NAFUU SANA TUNAUWEZO WA KUFANYIA KAZI SITE KWAKO PIA KWA GHARAMA NAFUU SANA
DM us for business
☎️ Call / Whatsapp 0672715959