@Samalentips Mdogo wangu Unapenda Sana Battle Mtu akikuelekeza Kitu unakimbilia udhaifu wake na Kuanza Jisifia Wewe ni Nani, Mara ww ni Mtu Mkubwa Sana Na Bla Bla Nyingi Zisizo na Kichwa Wala Miguu. Tafuta Sana Amani na Sio Vita
Mi ninachojua nina wanangu kibao Islamic afu wamenyooka sana haiwezi tokea nikazinguana nao kisa Kuna wala Vitimoto wanachochea tuonekane sisi sio wamoja kisa Dini.
Wana wenyewe tukiaa hata mwezi story za Dini hazifiki mara 3.
Tuna maisha nje ya Dini HATUIINGII HUO MTEGO.