@robkidayo_ Si ndo kama hapo jamaa amegharamia harusi ya mtoto wa kaka ake! Kama ameweza kusababisha binti wa kaka yake apate bilioni 1 siku ya send-off,, sidhani kama anashindwa kusaidia nduguze wengine! "Kusaidia ndugu ni muhimu" ila siyo lazima kaka, ndugu wengine jau!
@mushij685@dumelambegu_OG@robkidayo_ Sidhani kama kuna mtu amejiridhisha kua wale jamaa hawatoi misaada, ila imetumika tu hisia kuwahukumu! Tuishi humu "kama hakuna watu wabaya wasio penda maendeleo"
@dumelambegu_OG@robkidayo_ Kanisa halijengi shule na zahanati kama misaada, ni biashara ndo mana hata mtoto wa muumini akikosa ada anarudishwa. Ulaya mtu anawiwa kusaidia coz anaona gavoo pia inapambana. Alafu we umejuaje kama hao jamaa hawasaidii?! Au mpaka wajenge barabara?! Kutoa ni kuwiwa, siyo lazma!
@INFLUENCERjr Sasa hivi waarabu wangekua wamemvunjia mkataba kutokana na majeraha, na hata baada ya majeraha angestruggle kupata timu nyingine ya juu na mngemsema kuwa tamaa zimemponza! Na ndivyo wabongo mlivyo! ๐
@dumelambegu_OG@robkidayo_ Kama serikali inayokusanya Kodi kwako haifanyi hayo mambo ndo itakua mtu binafsi na jasho lake?! Siyo lazma mtu atoe msaada ni mpaka awiwe kutoa!
@BillyTronix1 Watu wanasema "jamaa hawaogopi kufa mana kifo kwao ni ushahidi" hapo hapo wanasema anajificha kulinda usalama wake asije uliwa na maadui zake. Kifo so mchezo wakuu!
@Madari1929@Iam_Malunguja Mbona umepaniki bro, Ulisema Magu alidili na wachaga na wazawa tu, nikauliza vipi Habinder na Manji? Mana nao walishughulikiwa na Magu, ukasema tuachane nao, nikauliza kwanini tuachane nao? Jibu hilo afu uendelee na vita yako na Magu mimi simtetei, atafufuka ajipambanie mwenyewe!
@Madari1929@Iam_Malunguja Kwahiyo umekubali kwamba hata wenye asili ya nje walishughulikiwa pia? mana hapo ndo nilipoona pana error kwenye hoja yako! Alafu wewe ulitaka hayo mashamba na leseni ziwe chini ya nani?! Kama wamepata mali kihalali kutokana na ubovu wa sera na sheria zetu wao kosa lao ni lipi?!
@Madari1929@Iam_Malunguja Kwahiyo umekubali kwamba hata wenye asili ya nje walishughulikiwa pia? Mana hapo ndo nlitaka uweke sawa. Kuhusu upigaji upo kila awamu hata awamu ya Magu walipiga kisawa sawa, tofauti labda mode ya upigaji ndo inabadilika kwamba wengine watapiga kimyakimya na wengine kwa kelele!
@Madari1929@Iam_Malunguja Kwanini tuachane nao?! Mimi sijabisha kwamba hakukua na upigaji ndo mana nikasema uko sahihi isipokua hapo kwenye point kwamba hakugusa watu wenye asili ya nje ndo nikatoa mfano wa Manji na Habinder!
@PKunjega1_ Mara ya 1 naingia DSM nlifikia kwa bamkubwa,, tulitoka matembezi kila mtu anadai kashiba, nkabaki mwenyewe na hotpot lote la ugali watoto wake wakaniuliza bro "utamaliza huo ugali kweli?" Sikuwajibu kitu, walijionea wenyewe! ๐๐ Wakawa wananiita monster hadi leo ndo AKA yangu!
@Innocen89950594 HAKUNA timu hua inatisha kuliko Ufaransa! Ukitoa 2010 na 2014, miaka mingine yote jamaa hua wanatisha. 2022 sidhani kama kuna mtu aliwapa nafasi Argentina hata wewe! Na kama uliwapa basi ni sababu ya ushabiki kwa Messi! Na sasa hivi wanapewa nafasi sababu ni bingwa mtetezi tu!