@wisdomjaykwa Hakuishia hapo akashare pamoja na Memorandum of understanding ili kuwahakikishia mashabiki kuwa hakuwa anachukua 40% ya kila kitu ππ
Kuna kipaji kikubwa sana naona hakipewi nafasi masikioni ila nina uhakika akipata nafasi na promo nzuri atakuwa anaondoka na kijiji aisee @KondeGang naomba mpe airtime ya kutosha @ibraahiimaa_ tumemisi mziki mzuri huyu dogo anajua sana aisee