@mwangaxa@maxannania@PMungetengeko@JoelNtile Jiulize matokeo ya kuanzia 1985 je watu wanaunafuu au ndo mambo magumu?! Angalia volume ya Export thamani ya dola dhidi ya Tsh je tunapanda au tunashuka?!!!
Huduma za Afya na elimu mpaka chuoni used to be free. Discipline ya raia zamani na SASA linganisha
@mwangaxa@maxannania@PMungetengeko@JoelNtile Hakupenda iwe hivo. Ila elimu bora na Afya alifanikiwa. Economy kulikuwa sabotage kubwa na sababu zinginezo. Kumbuka ilikuwa ni kipindi kigumu cha wajamaa na mabepari.
@mwangaxa@maxannania@PMungetengeko@JoelNtile Na naweza kucomment kuwa kipindi cha 1967 to 1985 kuwa productivity ilikuwa vizuri KWA mtu mmoja mmoja Achana na SASA watu ni wengi af productivity ni ndogo
@Octavianlasway Na Kila anayefanikiwa itategemeana na yeye mazingira yanemuwezesha vipi je uwezo wake na mazingira ni supportive?! Sio lazima usome ndo ufanikiwe. Mafanikio ni probability ya kuifungua code Yako. Ikifunguka umetoboa
@Octavianlasway Kuna vitu lazima vitenganishwe elimu ni tofauti na shule na akili ni kitu kingine. Mtu anaweza kuwa na elimu nzuri sana Isiyo ya darasani/shuleni na mtu anaweza kuwa na akili bila kuingia darasani. Elimu ni kuacquire knowledge ama formally informally au non formally