Kwa masikitiko makubwa tunatoa taarifa ya kifo cha mama mzazi wa Ofisa Mtendaji Mkuu wa klabu, Barbara Gonzalez aitwaye Rhoda Yahya Lambert uliotokea leo asubuhi nyumbani kwake Kigamboni.
Mazishi yatafanyika leo saa 10:30 jioni kwenye makaburi ya Kisutu. #NguvuMoja
Wakuu, tangu juzi, wakati kesi inaendelea, nilijisikia vibaya, jioni jana hali ikabadilika sana, usiku mzima sijapumzisha mwili. Nimehangaika sana. Leo, nimekwenda kupima, nimekuta Malaria, UTI na Amoebiasis. Nimepata matibabu, natumia dawa, bado sijaimarika sana. Tuombeane.
Jenerali Twaha Ulimwengu akivishwa medali ya heshima ya kutukuka kwa utumishi kwa vijana na Mwl, J.K Nyerere mwaka 1988. Mtu wa aina hii anaijua CCM ipasavyo kuliko JOBO. Anapokosoa utumishi wa umma au masuala ndani ya CCM, anayajua.. JoBo ajenge utaratibu wa kuvumilia spana!
Album ya @OfficialAliKiba imetuharibia mademu zetu kabsa, Yan haiwezekan demu ananiambia anakazi afu mda huohuo anantumia video anachezacheza Mara utu utulivu mara baba mdogo sjui vtu gani. @OfficialAliKiba unilipe fidia ya manzi wangu kupenda nyimbo zako kulko Mm dadeki! Khaaa