Mnasemaga hela mnajenga madarasa na kuna watoto wanatumia majivu kuandika chini kama ubao,tukiwasema mnanuna..Hongera kwa walimu kwa ubunifu huo Mungu atawalipa
@bigi047 Mwamba anatamani Sana kuchukua maelekezo, tena Jimbo lipo wazi "marry me" Sema mbaya zaidi apo chini yake kunaguu la Demu tena mweusi, Make msela alishajifunga Pingu la maisha, Tambi haishuki anajilaum ujana wake alivyouangamiza mapema akaacha vitam..
Wakati tunatafuta maisha tusisahau kuishi!!, Muda ni mdogo lakini inatupasa kuugawa, na katika hiki kidogo tulichonacho si mbaya tukakitumia kutupa furaha, maana Shida haziishi!!