Hili swala Follow back imekua kipengele sana kwa Waswahili😂 kuna kitu hakipo sawa kabisa,imagine kugonga follow back mtu unakunja!
Wanetu kama nimekufollow show back LOVE kwa Follow back✅ baadae ntawatembelea following wangu wote niangalie nani anavimba🚮
@fintanjr_ Fatilia kuhusu Uturuki, baada ya WW1 utawal wa kisultan ulipinduliwa na himaya ya ottoman ikaangushwa na sheria zote za kiislam zikapigwa marufuku Nchi ikaitwa Turkiye kwa Nchi ya waturuki wote sio ya ukoo ottoman na sheria zote zikabadilishwa zikawa kama za mataifa ya wazungu
@factzonep@AbroadTanzania Mtu upo Marekani Kingereza nacho hujui! Hawa ndo wanatutia aibu tunaonekana Watanzania wote vilaza,kazi kuikosoa Serikali tu Kingereza aaaaah
THIS IS UNREAL…
A man reportedly bypassed security at an airport in Italy and ran onto the runway… straight into the engine of a plane preparing for takeoff.
Over 150 passengers were on board as this happened in real time.
Flights were halted, the aircraft was damaged, and the entire airport had to shut down operations.
A shocking moment that left travelers and crew in disbelief.
How does someone even get past security like this?
Thoughts? ⬇️ 🇺🇸
@blazadadee1 Sasa ungezaliwa New York ungeona wenzako mbwa wa aina gani! Hii Dar yenye nyumba slums ndo mnanyanyasia watu! Tembeeni vijana afu huu ujinga mtaacha
@legend20070421@blazadadee1 Sasa Dar hiyo yenye maji machafu kila kona ni ya kuongelea Mzee au unaishi Masaki? Basi tuseme unaishi Mbweni,hamna kitu mtawaambia watu wakaelewa punguzeni zalau ndo maana hampati hela hao wanaokuja wanatoboa mnabak kupiga vizinga🚮 Afu next time acha kuzalau watu kisa Dar
@tibaasili3@BlessdGrooveKid Hapo victim inabidi achukue changamoto kujitafta sasa lakin mtu ana uhuru wa kuongea na anaependa kuongea nae, interview hazifanywi kwa huruma kaka