FREE NINJA DAMOUR NOW!!
Ingawa Polisi finally wamejitokeza na kusema Wamemkamata, ila kitendo cha mtu Kunyakuliwa Nyumbani na Watu waliovaa kiraia, wameficha sura na mask, wakiwa na Silaha na Gari lisilo la Polisi, kisha kutokuwepo Vituo vyote vya Polisi kwa masaa zaidi 40, HUKO NI KUTEKWA!!
Suala la Ninja Damour kukamatwa kiholela, na kutopatikana kwenye vituo vyote vya polisi, basi RPC ajiuzulu kazi mara moja!! Polisi hawafanyi kazi kwa weledi, kwa kufata sheria za nchi, wala kujali haki za binadamu.
Eti amekamatwa kwa VITENDO VYA UHALIFU.. upi huo? Kweli taarifa ya kipolisi inasema “ametoa ushirikiano kwa kueleza MAMBO MBALI MBALI”… ndio mambo gani hayo?
Such Vague & Empty statements, is a true testament of your illicit involvement in the recent years abductions, that have people like POLE POLE, MDUDE, DEUS SOKA MANY OTHERS STILL MISSING TO DATE! Walivyokamatwa wao ndio hivyo hivyo alivyokamatwa DAMOUR, SATIVA, ALLY KIBAO! Same Scenario, Just different fates; one killed, one almost killed, one jailed. Who knows whats up with those aforementioned whose whereabouts remain unknown.
POLISI NDIO WAHALIFU, NA MNAFATA MAELEKEZO YA SERIKALI HARAMU… FREE NINJA NOW!
“Fuck The Police” - NWA
Mtajuta Kutusomesha..
The Leader