@Sativa255 Kwa ufupi tu mbowe hawezi achia kiti,na lisu hawezi shinda uchaguzi,,,kama atashindwa je lisu ataweza kuishi ndani ya CDM kama mwanachama wa kawaida? Kama sivyo unadhani nn kinaikuta cdm
@HildaNewton21 Kwa mtazamo wangu,,,CDM inaenda kwenye vuta ni kuvute 2025,endapo uchaguzi utakua wa uhuru na haki,huenda mambo yakaenda vyema,lkn ikitokea dosari,inawezekana kukatokea mgawanyiko wa wanachama,maana sioni kama lisu atakubali kubakiCDM kama mwanachama wakawaida
@EduTalkTz Faida kubwa moja ya ukweli,ni Tanganyika kuilea na kuilisha Zanzibar milele,,,,ni sawa na kumtunza demu akiwa kwao alafu mwisho wa siku unakuta mwarabu kamuoa
@MwanzoTvPlus Tunako elekea,yatupasa kutembea na kifaa maalumu Cha kujilinda,maana serikali inaimarisha ualifu wa matukio ya kutekwa na kupotezwa,na kwa namna hii ambavyo kiongozi wa juu anavyozungumza uongo mkubwa kiasi hiki,hii ni ishara kuwa,wao ndiyo wausika halisi,na
@BabaMwita@tanpol@EngineerMasauni Huyu jamaa inaonekana ni tishio,,,,na hatua anazoelekea endapo serikali haitochukua hatua ni kusababisha machafuko na watu kufa zaidi
@Sativa255 They can fools some people sometimes,but they can't fools all people all the time,,,,sionagi kama Hawa vijana wa *cm wanajielewa,Tena ilifaa polisi waanze na Hawa kwa sababu baadhi Yao wametamka kauli nzito na zinaendana na matukio halisi
@LuhagaMpina Na Imani JWTZ wanapima haya mambo,,maamuzi yao yatakua magumu endapo mambo haya hayatafanyiwa kazi na kupatiwa ufumbuzi,Hawa wengine,hatuwaelewi,maana hata yule aliyetekwa na kutupwa porini(sativa) alinyoosha maelezo na hakuna taarifa zozote za uwajibikaji
@MariaSTsehai@SuluhuSamia Kwa ufupi waziri MASAUN na IGP,,,,hawafai kuwa ofisini ndani ya masaa 72,kwa sababu ni dhairi hawawezi kutulinda ss na wananchi na mali zetu,kama waziri aliweza kusema hakuna utekaji inchi Iko salama,kwa maneno yake tu akupaswa hata kwenda msibani Leo,
@SuluhuSamia Mama tutapambana kwelikweli,,
Lkn mama,,,vipi kuhusu wale jamaa waliokula trillions ambazo ulienda kuzitafuta kule mbali,,,alafu mazaa,kibaya zaidi wamekula hadi ya ndani tena,,kweli mama utawaacha alafu ss tunaokula mlo mmoja tulipe deni la taifa ,,,