@hamisi_mikonzi@SadickTusia LENOVO *IDEAPAD* i7-13th generation 16gb 512ssd 14" dos = 1,925,000
HP 15-FD0229NIA i7-13th Gen 8gb 512ssd 15,6" dos = 1,950,000
HP *PROBOOK* 440g10 i7-13th Gen 8gb 512ssd 14" dos = 2,420,000
HP *PROBOOK* 450g10 i7-13th Gen 8gb 512ssd 15,6" dos = 2,330,000
@Barongo01 Mtu ambae hajasoma vitabu vya hapo zamani, unaweza kumhisi huyu ni chizi na analisha matango pori
Ila anachosema kipo kwenye vitabu vya zamani.
Kabla hujambishia ingia maktaba soma ndio uanze kumuona chini…
Earth Kuonekana iko katika duara ni baadae sana baada ya NASA
@Outset_Of_Omega@KakamjedaCity@TichaMandevu Gari ya 2005 inatoka japan iko vizuri
Mpe mtanzania mwaka tu huitamani
Hapo shida ni gari sio imara au mtanzania ndio hawezi kuitunza gari
Gari imetengezwa 2005 inafika tanzania 2024 ikiwa safi original color kila kona imetumika 11 years mpe mbongo 1 Year
@Outset_Of_Omega@KakamjedaCity@TichaMandevu Gari inaitaji matunzo
Barabara zetu
Udereva wetu
Hali ya hewa ya dar es salaam ni sio rafiki.
Gari sio kujaza mafuta na kuendesha
Kutunza gari sio rahisi
Wakati unaosha tumia maji yasio na chumvi
Polish, Paki kwenye kimvuli, tumia sabuni za magari, usipite kwenye mashimo
@Outset_Of_Omega@KakamjedaCity@TichaMandevu Toyota Crown kama ulivyosema ni 2004 zimeanza, Kama ni gari mbovu mbona mpaka leo 2024 zinatoka japan zikiwa na hali nzuri sana
Na zikitumiwa tanzania mwaka tu zinafubaa
Swala hapa ni utunzaji gari ni utunzaji na uwe na uwezo wa kuihudumia.. sio kujaza tu mafuta
@nyuki_malkia Kitu mtu ameamua mwenyewe na halalamiki wewe kinakuuma nini?
Mbona kuna wanawake wanaotoa huduma kwenye ma bar wanalazimishwa kuvaa sketi futi au vibukta na hamsemi kama wananyanyasika ila wakivaa kujistili wananyanyasika si eti