USIKU HUU NAWASOGEZEA VIDEO zaidi ya 20 ZITAKAZO FANYA UMALIZE SIKU YAKO UKIWA NA FURAHA TUPU😂😂🔥🤝🏾
Kama hupendi kucheka usifungue hizi video tafadhali.
Twende kazi
Wengi waliambiwa lakini hawakuamini ukweli kuhusu kiumbe huyu!
Je ukweli ni upi, MAPINGUARI - Mlinzi wa Kutisha wa Msitu wa Amazoni
Kiumbe mkubwa wa ajabu mwenye mguu mmoja, anayeishi katika misitu ya kina cha msitu
Shuka nayo🧵
Matendo ya Ukatili wa kijinsia katika jamii yanaendelea kutokea kwa sababu wengi wetu tunayachekea chekea au kuyafanyia mzaha ama kuyageuza vichekesho wakati sio mambo ya kuyaangalia kwa jicho la utani kabisa.
Masela wapo kwenye HOUSE PARTY, wamemuona mrembo, mkali, kapoa, mmoja akaenda, akatema sumu, manzi akachomoa...
Mwingine alivyosogea, naye ikawa hivyo hivyo..
Wakaamua kuweka mpango mchafu wa kumkomoa. Bila kujua demu ni mtu mbaya tofauti kabisa na wanavyomtazama.
Iko hivi, ngoja nikusimulie...👇🏽
Wajue watu waliomkufuru Mungu na kufa muda mfupi baadaye
Watu wengi duniani wanaamini kuna Mungu, au nguvu fulani kubwa kuliko mwanadamu inayomuongoza na ndio chanzo cha uhai wote. Lakini sio wote wenye imani hii. Wapo wanao amini hakuna Mungu na mwanadamu hakuumbwa na mungu. Nimekuwekea mifano ya watu waliokufuru Mungu na kufa muda mfupi baadae.
🧵🧵
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mstaafu, Mheshimiwa Jaji Mstaafu Frederick Werema. Ninatoa pole kwa familia, Mheshimiwa Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Majaji, ndugu, jamaa na marafiki.
Nawaombea kwa Mwenyezi Mungu awajalie subra na imani katika kipindi hiki cha kuomboleza msiba huu, na ailaze roho ya mpendwa wetu huyu mahali pema peponi.
Amina.
Nimesikitishwa na taarifa ya vifo vya ndugu zetu 9 kutokana na ajali ya barabarani iliyotokea katika barabara ya kutoka Tarekea, Wilaya ya Rombo kuelekea mji wa Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro.
Ninawaombea marehemu wapumzike kwa amani. Ninatoa salamu za pole kwa wafiwa, ndugu na jamaa, na ninawaombea majeruhi wapate nafuu kwa haraka.
Nasisitiza madereva kuendelea kuwa makini na waangalifu zaidi barabarani, huku Jeshi la Polisi likiendelea na kazi ya kusimamia sheria za usalama barabarani wakati huu wa mwisho wa mwaka.