“Usiogope Kupoteza Baadhi ya Vitu/watu maishani, nimejifunza kwamba kile unachoona/unachodhani umepoteza, HUJAPOTEZA! Nimpango wa Mwenyezi MUNGU kukupeleka kwenye Uelekeo wako Sahihi na kukupa Bora zaidi Ya Ulichodhani Umepoteza!!”
Dini itakufunga lakini Yesu atakuweka huru. Ukiwa na Yesu, kuna vitu vya kidini utaviangalia na kusema, "hii acha inipite tu."
Good midweek vibes, y'all.