@HonKibore_K No law in this country that mandates anyone or institutions to have the president's portrait in their offices. So there's nothing wrong in what he did
@Osama_otero Mabadiliko ya hali ya anga na hewa, huchangiwa na tabia ya watu kwenye nchi. Mfano ukataji wa miti ovyo, kuharibu chemichemi za maji na uharibifu wa misitu asili. Hapo sasa kunakuwa na mabadiliko kwenye hali ya hewa ambaya amechangiwa na tabia ya watu kwenye nchi.
@MwendiaJnr Mshazoea watu kutoka kwa power wakiwa wazee... mkipata mtu active na ameretire kama bado ako na nguvu, ndio mnalia. Let him exercise his democratic rights