@MarekaMalili Kaka Mambo yote yenye KHERI,IBILISI ajawahi KUYAPENDA,tazama watu watazin miaka 10+ uwez kuta wanagombana sasa wakihalalisha tu VITA inaanza🙌🏻KHERI ni NGUMU MNO!
@MiriamMkanaka Kutozungumza MAGUMU yetu ndio ukamilifu sasa wa huo UWANAUME wetu!!hii Gender ya KIUME toka tukiwa wadogo tukilia tunaambiwa wanaume uwa hawalii,so
tumekuwa tukiamin kuwa kutoshare magumu ndio UANAUME WENYEWE🍁
@McinikaWaLamar@CarynKhan7 ata hao wawili watoe kaka,hao watakuwa wavulana!ayupo mwanaume mwenye Presha ya Ndoa,Ukiona Ndoa imefungwa jua mwanaume kaamua tena Presha.