Huyu anaitwa Jackson yupo Oysterbay polis kitengo( SIBER)
ndio aliusika na utekaji wa ndugu yetu peter mushi na kumweka kwenye gari aina ya crown na kuondoka naye.
mpaka sasa ni siku ya 11 @tanpol wamekaa kmy na bila kutoa ushirikiano kwa familia💔
Naomba Retweet🙏
BADO TSH. MILIONI 41.2 PEKEE TUFIKISHE LENGO LA MILIONI 334.
Bado Milioni 7.2 kufika Milioni 300 tupate milioni 1 ya
Sativa
CHANGIA BARAZA KUU LA UMMA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB
Bank Namba: 22606600140
Jina: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
HISTORIA HAIKUMBUKI MACHAWA
Nimeona clip ya MWIJAKU akikejeli jitihada za Wanataaluma kumsaidia mwenzao ambae anashikiliwa na Polisi. Amebeza kiasi cha fedha kilichochangwa, na kuweka msisitizo wa kutahadharisha watu kwenda kinyume na matakwa ya WATAWALA, maana watakamatwa na hela za kujichanga zisitoshe.
Sijataka kuiweka Clip hapa maana nitakuwa naisaidia kufika mbali. Ila hii level ya UCHAWA ni lazima tuikemee!
Kama wewe hauna kitu ambacho unakisimamia, hauna principles wala muelekeo kama MTU HURU au mwanaume aliyekamilika, basi usitie neno/kauli kwenye Harakati za Watu ambao wanajitambua.
Kama wewe umeamua kujivunjia HESHIMA, KUUZA UTU wako, na KUINGILIWA MAKALIONI ili uishi SOFT LIFE, jua kuwa wengine wanakula na kuishi kwa jasho kama isemavyo BIBLIA (na naamini QURAN pia).
Wewe ambae unawachekaga Chawa Wenzako kuwa hawajasoma na wewe ni Msomi, alafu unakuja kuwadhihaki Wasomi ili uwafurahishe Watesi wao? You are an enabler of a repressive regime, which makes you as guilty as they are!
HELA sio kila kitu maishani! Na historia ya dunia haikumbuki hela bali UJASIRI, MSIMAMO, FALSAFA, MABADILIKO, KUJITOA KAFARA, etc MANSA KANKAN MUSSA alikuwa tajiri ila hamna anayemuwaza kwenye ulimwengi wa ELON MUSK
Hakuna CHAWA aliyejengewa Sanamu wala kuandikwa kwenye Kumbukumbu. Ila MASANAMU, VITABU, MITAA NA MAJENGO yanaimba story za Thomas Sankara, Che Guevara, Patrice Lumumba, Martin Luther King, Malcolm X, Steve Biko, nk. Na wameuwawa hata shilingi 10 hawana!!
Na amini nakwambia, Miaka 100 mbele, MWIJAKU hutokumbukwa, ila HUMPHREY POLEPOLE, DEUS SOKA, MDUDE NYAGALI, BEN SAANANE, CHRISTOPHER MTIKILA watakumbukwa kama tunavyowakumbuka KINJEKITILE NGWALE, CHIEF MKWAWA, NYERERE…
And by the way, Maisha niliyoishi mimi, Maria Sarungi, Mange Kimambi, nk wewe hata robo hujaishi, but still chose to stand on what���s right.
Dar Es Salaam umeanza julikana 2018 sijui, ndio uje kutaka kufundisha watu Maisha na kuongelea Hela? smh
KAMA HAUNA LA MAANA LA KUSEMA, KAA KIMYA
The Leader
Kiukweli sioni tukipata katiba MPYA mpaka 2030.
Kuna vitu ukiviangalia vinavyoenda unaona kabisa hakuna KATIBA MPYA hapa.
MUNGU NIPE MAISHA MAREFU NIFIKE 2030-HUENDA UKATOKEA MUUJIZA NATAMANI KUUONA UTATOKEAJE.
Mwenyekiti wa Jimbo la Geita Vijijini Bi. Neema Chozaile amesomewa tuhuma ya UGAIDI baada ya Serikali kufuta tuhuma ya kula jama za kuua Askari.
Sasa amepelekwa gerezani kwa sababu kosa la UGADI halina dhamana.
Kesi imeahirishwa hadi tarehe 24.8.2026.
Nchi hii, iko kwenye matatizo makubwa mno.
Hawa wanaoitwa polisi ni ngumu kuelewa ni wakati gani wao wanakua polisi au ni wakati gani wanaweza kugeuka na kuwa watekaji.
Magari yanayotumiwa na polisi au vyombo vya dola wakati yana namba ambazo sio za kwenye magari hayo!!
Unawezaje kujua kama hayo magari ni ya majambazi au watekaji na ni wakati gani yanageuka kuwa ya polisi?
Nchi hii inazidi kuharibika na itahitaji nguvu kubwa mno kuirekebisha.
Hatutasahau kuwa uliteka, tesa na kuwapoteza hawa vijana:
Deus Soka.
Mdude Nyagali.
Jacob Mlay.
Frank Mbise.
Dioniz Kipanya.
Shadrack Chaula & more.
Hawa ni vijana wakosoaji wa serikali yako.
Damu yao itakufuata wewe na vizazi vyako.
You are a criminal.
💔💔😭
This collage shows how much Kizza Besigye and Sam Mugumya have suffered at the hands of the black oppressors in Uganda - and why? Political differences and sheer greed for power!
Hakuna mnyama anaweza kumtesa mshindani wake hivi zaidi ya binadamu katili!
Hii ni aibu KUBWA na ushetani usio na kifani kuwatesa Kizza Besigye na msaidizi wake Sam Mugumya hadi wamechakaa na wako hoi! Kisa uchu wa madaraka!?
We need an OVERHAUL! This is utter madness!
#FreeKizzaBesigye
#FreeSamMugumya
#FreeAllPoiticalPrisonersUg
Mpaka sasa tumekusanya TSh. Milioni 255.3, na sasa tumebakiza TSh. Milioni 78.7 pekee kufikia lengo la TSh. Milioni 334 kwa ajili ya Baraza Kuu la Umma.
CHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba: 22606600140
Jina: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
🚨‼️Terrorism Risks During AFCON
in Tanzania‼️
Cc @CAF_Online
In October 2025, a massacre resulting in the deaths of over 10,000 innocent Tanganyikans and foreigners occurred in Tanzania. To date, no one has been held accountable for heinous crimes against humanity.
Samia Suluhu Hassan leads a terrorist cell under the guise of the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party alongside Paul Christian Makonda (the Minister of Sports) and Faustine Jackson Mafwele (Senior Assistant Commissioner of Police - SACP). Both Makonda and Mafwele have been sanctioned by the United States government for gross human rights violations. They have a long-standing reputation as brutal enforcers of extreme torture against dissenters
We urge CAF to review the serious risks facing traveling fans, particularly in light of terrorism statistics published by the Tanzania Police Force (TanPol). TanPol has documented the arrests of nearly 200 individuals linked to active terror plots in the past three weeks alone.
Human rights violations have escalated sharply, with a presidential commission in April 2026 confirming the enforced disappearance of over 700 people between 2024 and 2026. This follows a June 2025 report by UN Human Rights Experts estimating over 200 disappearances.
Given the widespread threat of abductions and systemic insecurity throughout both Tanganyika and Zanzibar, we urge CAF to reconsider its hosting decision rather than endanger the lives of international visitors, tourists, and football fans.
Should the tournament proceed under these volatile conditions, CAF must accept full institutional and moral responsibility for any loss of life or enforced disappearances.
A luta continua 👊🏽
Hey @CAF_Online tell Patrice Motsepe that Paul Makonda is a accused of crimes against humanity! He haa been banned by the Us government and soon will be facing international scrutiny!
Keep AFCON away from #Tanzania as any visitor is at risk of abduction, torture and trumped up charges!
#TanzaniaIsNOTSafe
They tried to kill Lissu. Now they’re hunting Heche. Same playbook. Same impunity.
Stop pretending this is coincidence. They’re systematically targeting the opposition.
2017 flashback: Months before surviving an assassination attempt, @TunduALissu publicly accused Magufuli’s government of deploying security agents to stalk him. He warned repeatedly that his life was in danger.
On 7 September 2017, he was shot multiple times outside his Dodoma residence. Nearly nine years later — no suspects, no arrests, no justice.
July 2026: @HecheJohn, CHADEMA Vice Chairman, reports being stalked by unknown individuals in a vehicle with fake number plates T318 EQJ.
Just over a month earlier, Tundu Lissu’s personal assistant and driver David Dhumbe survived a violent abduction attempt and was brutally assaulted.
Barely a month after that, John Heche’s personal assistant and driver was found dead in a hotel.
This is not coincidence. It is a method:
✍️ No suspects identified
✍️ No investigation
✍️ No arrests
✍️ Every case left to go cold
The world cannot keep looking away while opposition figures and those closest to them are targeted, abducted, or killed with total impunity. Silence only emboldens the perpetrators.
Protect John Heche. Demand accountability. Break the pattern now.
@SenatorShaheen@SFRCdems@SenTedCruz@RepBrianMast@HouseForeignGOP@HouseForeign@EUinTZ@EP_HumanRights@EP_ForeignAff@SenatorRisch@davidmcallister@StateDeputySpox
#TanzaniaMassacre #FreeTunduLissu #Tanzania #HumanRights
Serikali dhalimu inawakamata viongozi na wanachama wetu na kuwabambikizia kwa makusudi na kwa uongo kesi mbaya isiyo na dhamana ya ugaidi.
Sisi tunahoji, mnajua madhara ya kusema kuna ugaidi kwenye Nchi?
Kiuchumi kwa maana ya wawekezaji wenye mitaji mikubwa,
Utalii na wageni wanaokuja Nchini.
Kimahusiano na kimashirikiano kwa mfano michezo?
Tunauliza unajenga vipi viwanja na kualika wageni kwenye Nchi ambayo nyie wenyewe Mnaitangaza Duniani kwamba mna watu 130 mmewakamata kwa ugaidi!!
Mnaanza kutuma wanaccm kusema tukae mbali na michezo.
Hivi michezo ni muhimu kuliko watu wanaotekwa? Michezo ni muhimu kuliko uhuru wa watu unaopokwa kwa uongo?
Huyo anaesema haya angekua amebambikiziwa kesi yuko gerezani angesemea wapi hiyo michezo?
Afrika kusini wakati wa ubaguzi wa rangi ilitengwa na FIFA na CAF.. serikali hii inayobagua na kubambikizia watu wanaotekwa chadema kesi inastahili kutengwa na kila mtu Duniani.
‼️🚨GARI LA WATEKAJI BADO WANAMFUATILIA HECHE ‼️
Wapumbavu hawa leo wameamka tena wanamfuatilia na wamebadili plate number ni ya Semi trailer 🙄
@tanpol msije kukataa hili suala ni lenu la Mafwele na Abdul pamoja na Sumai na wamepanga kumteka na kumwua Heche alafu waseme wale waliojitokeza kusema ajiuzulu ndo wamehusika! Akili za kishetani na kipumbavu! Msithubutu tushaieleza dunia! Hamtakaa kujificha! Mashetani wakubwa!
Vehicle carrying state backed ABDUCTORS are trailing again today John Heche @HecheJohn with the intention of harming him first abducting then killing him - the claim it is internal Chadema strife!
Yesterday this vehicle was identified with a fake plate number belonging to a Caterpillar vehicle. Today it bears the plate no of a semi trialer
This is the death squad funded by Abdul
Halim Ameir Hafidh and ran by Faustin Mafwele and this plot is theirs! Sick people!
Let this be noted
@commonwealthsec@SenTedCruz@SenatorShaheen@SenateForeign@SFRCdems@FCDOGovUK@WorldBankAfrica@IMFAfrica@Europarl_EN@davidmcallister@IntlCrimCourt@US_SrAdvisorAF@StateDeptARS@StateDept
Hii ni picha ya CCTV ya watu waliokuja kunifuatilia nyumbani kwangu.
Wameulizia nyumba yangu, na baadae wakaondoka bila hata kutaka kuingia au kueleza kwanini wanatafuta nyumba yangu.
Tumefuatilia hiyo gari na kugundua kwamba namba za usajili inazotumia sio namba halisi..
Namba hizo T318 EQJ ni namba zilizosajiliwa kwa magari ya kulima barabara sio namba za Land Cruiser hardtop hiyo.
Polisi wanapaswa kutuambia hao ni kina nani na nia yao hasa ni ipi kwangu.
Hatutakubali kuishi kwa hofu kwenye Nchi yetu.
Mambo ya aina hii yanaweza kuingiza Nchi kwenye hatari kubwa sana .
Watanzania sisi tutafanya kazi yenu bila hofu, msikubali kuona viongozi wenu wanatishiwa.