"Tuna taasisi ya kuilinda, tuna Nchi ya kutetea, tuna Watanzania wa kupigania. Chadema ikifa madhara yake ni makubwa mno kwa Nchi yetu..
Lissu sio muongo ni mkweli, muadilifu na muwazi." Mh. @HecheJohn
GEORGE SANGA binafsi nimeahidi kumchangia yeye binafsi LAKI 5.
Na hawa wenzake nitachangia LAKI 5 kwa WOTE.
Nasubiri muongozo nifunge mwaka kwa hii sadaka.🫂
Kifo ni hakika, tangulia Mama yangu kipenzi.
Kwangu ulikuwa sehemu ya watu waliokuwa wananikubali hata kama mimi mwenyewe nilikuwa na mashaka na uwezo wangu ama na kujikubali kwangu.
Ulikuwa rafiki yangu na mtia moyo wangu uliyekuwa hauamini katika kushindwa. Ulinifundisha Maisha ya kumtegemea Mungu, kuwapenda watu na kuwa mnyenyekevu uliniambia wewe ndiyo mtoto wa kwanza kuwa kiongozi.
Kwako nilipata hamasa nyingi za kuendelea hata pale nilipokuwa kwenye ugumu wa kurudi nyuma Uliniombea.
Kwaheri Mama yangu Pumzika kwa Amani Mama wa wengi.
Wewe ni Shujaa wangu utakaye ishi daima Moyoni mwangu.