If you know the enemy and know yourself, you need not fear the result of a hundred battles. If you know yourself but not the enemy, for every victory gained you will also suffer a defeat. If you know neither the enemy nor yourself, you will succumb in every battle.
UTEUZI: Waziri wa Katiba na Sheria, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Wakili Mkuu wa Serikali, Jaji wa Mahakama ya Rufani...โ๐พ
Sunday is World Kiswahili Language Day.
Follow @UmojaWaMataifa for updates on the UN's work in Kiswahili, a language spoken by 200+ million people around the world. https://t.co/YZziLelnnSโฆ
#TANZANIA: KESI YA MBUNGE GEKUL YAFUTWA NA MAHAKAMA HUKO BABATI
Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Babati Mkoani Manyara, Victor Kimario hii leo Disemba 27, 2023 amefuta shauri la jinai lililofunguliwa na Wakili Peter Madeleka dhidi ya Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini Paulina Gekul la kumfanyia shambulio la kimwili Hashim Ally.
Hii ni baada ya Mwendesha Mashtaka wa Serikali kuona hana nia ya kuendelea na kesi hiyo na ameiondoa kwa mujibu wa kifungu cha 91 (1) cha sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai sura ya 20 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2022 ambayo inampa DPP Mamlaka ya kuondoa kesi yoyote ya jinai Mahakamani kabla haijafikia hukumu.
Wakili wa upande wa Mlalamikaji, Peter Madeleka amesema wanakusudia kukata rufaa kwa kuwa hawajaridhishwa na maamuzi yaliyotolewa na Mahakama hiyo.
Wakili Madeleka akiwa na Mawakili wengine Thadei Lister na Peter Masanja walifungua kesi dhidi ya Mbunge Paulina Gekul wakidai alimfanyia kitendo hicho Hashim Ally kwa kumuingizia chupa sehemu ya haja kubwa, upande wa Mshtakiwa uliwakilishwa na Wakili Ephraim Kisanga.
@TigoTanzania kwanini mnapenda kufunga line yangu kila mara bila sababu za msingi. Sio lazima mimi kununua vocha za kukwangua, wakati kutumia tigopesa napata vocha ninayotaka. Sasa mna mawili mfungo laini yangu bila vigezo vizivyo na msingi au niwachulie hatua.
MSABATO KUTOFANYA KAZI JUMAMOSI NI HAKI YAKE YA KIKATIBA - EWE MWAJIRI TAMBUA HILO
ELIZA - MSABATO alisaini Mkataba wa Ajira na Benki, Mkataba ulionesha kuwa hata JUMAMOSI ni siku ya kazi. Lakini Eliza akawa haendi kazini siku za JUMAMOSI bali alienda kusali/kuabudu - Sabato. ๐๐ฟ