@Oxygen_Fuvu Imenchekesha hii pic dogo alitoka shule last week nkamuuliza huko shuleni mnalalaga mchana ndio tena usipolala madam anakuchapa siunaona mm nlilala mpk wkt nateremshwa kwa sxcul bus π€£π€£π€£π
@Officialfrydah O level sitasahau aiseeh nliona aibu hlf sasa walikuwa headboy na timekeeper na teacher mm hta sijui hil wala lile oyaaa Mbona nlihama shule without maza kujua sababu π€£π€£π€£
@funjojr Sindo huyu alkuwa anasagia kunguni Watoto wanaodekezwa mpk kuita dad kumbe naye yai tuuu alooo ,,lkn tushaambiwa dini n taasisi wengine n njaa tuu
@VanesaTemba N kweli inachosha,,,Yan kwakwel kuwa na mtu asiye na kipato chake n mzigo hta kama n kdg atleast syo zero kbs kuna lijamaa lilioa slay qeen Mbn analia sahii
@LucasbrownTz Dishi limeyumba ,,hebu presenters muwe seriously na kaz zenyu maana unaonekana na yy dishi limeyumba,,subscribes hawatafutwi kwa kuwahoj mazerobrain