Naomba tufanye jaribio la kupiga kura kidigitali ambayo unaona matokeo yako mubashara.Wagombea wetu ni Tundulissu na Samia Suluhu.Pigakura yako tuone nani ataibuka mshindi.RETWEET KWA TUNDULISSU CHADEMA,LIKE KWA SAMIASULUHU,CCM,kumbuka hii ni tume huru.
MARY CHRISTMAS Mhe. @freemanmbowetz . Mungu azidi kukulinda mwenyekiti wetu makini.
Kama unapenda kumtakia @freemanmbowetz Mary Christmas, Naomba #RETWEET kwake kama ishara ya kumpa WISH ya Mary Christmas.!
#KatibaMpya
Kwa msiomfahamu huyu ndo @LembrusMchome leo alikuwa shahidi wa upande wa Utetezi, kawanyoosha mawakili wa Jamhuri mpaka wameomba poooo!..
Neno moja kwake tafadhali.๐
Anaitwa wakili msomi Peter Kibatala kiboko ya mashahidi wa uongo. Muda si mrefu ataongoza jopo la wanasheria kumtetea Mhe. Freeman Mbowe dhidi ya mashtaka ya kubumba ya ugaidi. Kwa wapenda haki wote, Ili kuonyesha mshikamano SOLIDARITY.
Retweet 500 kwake.