Top Tweets for #Heche

#Heche Hivi huwa unajisikiaje moyoni ukimaliza kujitumia meseji kama hizi halafu unazipost? Hupati hata chembe ya aibu?
Siasa za Upotoshaji zimepitwa na wakati

Nidhamu ndani ya chama ni kila kitu. Huwezi kwenda kwenye vyombo vya habari kulalamika bila kufuata taratibu za chama chako. Hatua nzuri ili mambo yawekwe wazi, maana #Heche msimamo wake uko wazi tangu mwanzo! ⚖️

Mtu mpuuzi mpumbavu ndiee anaweza kuwa na mashaka na hofu kwa #heche

Tupo pamoja na #heche na #tundulisu na #chadematz atudanganyiki ngoo🫡🫡👇👇✌️✌️ wananchi sie ndo chama sio hao wauni

Watu wana history ndefu na CHADEMA
#heche

@ChademaTZ2 Kwenye haya maisha nimejifunza kwamba #Kua na msimamo,hata kama wengi wanaona kwamba haiwezekani.
#TAL,#Heche RESPECT.
@TZMsemajiMkuu Free #polepole ,free #mdude free #soka #free #tundulisu free #heche free #dioniz free #chaula ,
CHA AJABU MAKHAWAARIJ WANAKWAMBIA HAIFAI KUMTII MAMA #SAMIA KWAKUA HAONGOZI KWA QURAAN NA SUNNA SI KTK WEMA AU UOVU📚💦
>> HALAF WAO WANAMTII #TUNU LISU NA JOHN #HECHE WAKIITWA KWENYE MAANDAMANO NA MIKUTANO YA HADHARA_NA AKIWAAMBIA WAMSEME VIBAYA HADHARANI MAMA #SAMIA
🫴WAKAPIMWE AKILI MILEMBE HAWA
🔹️kwani huyo lisu na heche na chadema WANAONGOZA KWA QURAAN NA SUNNA⁉️
🔹️MKIAMRISHWA MAOVU NA HAO VIONGOZI WENU WA CHAMA AU VYAMA VYA UPINZANI #MNAWATII BILA KUPINGA WALA KULETA PINGAMIZI LA QURAAN NA SUNNA
🫴ILA MKIAMBIWA MTIINI MTAWALA KTK MEMA MNAJIFANYA MNAZIJUA AYA NA HADITHI
KWANINI MNAKUA NA DOUBLE STANDARD⁉️
🔹️utasikia oo kwanza raisi hafai kua mwanamke
🔹️oo haongozi kwa Quraan na sunna
🔹️kuteuliwa kwake hakujapatikana kiilslamu
JE, HAO KINA #LISU NA CHADEMA YAKE MNAVYOMTII NA KUMUONA NI SHUJAA WENU NA MWANAHARAKATI WENU NA KHALIFA WENU KATIMIZA KIPI KWENYE HAYO⁉️
🫴MNATAKA KUSEMA KWAMBA NDANI YA CHADEMA AU ICT AU CUF ;
🔹️hamna viongozi wanawake⁉️🫣
🔹️je wao wanatumia Quraan na sunna⁉️
🔹️je wao wanawapata viongozi wao kwa taratibu za #kiislamu⁉️
HEBU KUWENI WAKWELI NYIE KHAWAARIJ 👊
NB; UISLAMU UMETUAMRISHA KUMTII MTAWALA YEYOTE KWENYE AMRI ZAKE ZISIO ZA MAASI BASI
HATA INGALIKUA RAISI NI #SHOGA AU #JAMBAZI AU #MWIZI AU #TAPELI AU MNYANYASAJI AU MUUAJI ...MFANO _ AKISEMA NENDENI MKAFAGIE BARABARA TUTAENDA WALA HATUTAMKHALIFU
ACHA HIYO CCM ILIOKO MADARAKANI _ HATA ANGEKUA NI CHADEMA AU CUF AU ICT...SISI TUTAMTII KAMA KIONGOZI WA NCHI KWENYE KILA JEMA ANALOTUAMURU TUFANYE
🔹️Msimamo wetu haubadiliki ndio huu huu hata angekuja raisi ni CHADEMA AU CUF
🫴hata angekua RAISI ni PADRE AU SISITER AU ASKOFU NDIO RAISI WA TZ 🇹🇿
ILA AKITUAMRISHA KWENYE #MAOVU HATUTOMTII HATA KAMA ATAKUA RAISI WA TZ🇹🇿 SHERIKH,MUFTY AU ULAMAA AU MWANACHUONI WA KIISLAMU NA KANZU ZAKE AU NA KILEMBA KAMA NGOMA
@AbiriaNdugu
@Ucle_Kuchi @khilafah8 @Matallahkhamis @BinKombo3 @HabiibYahyaa @EsirEid

@Sativa255 Uncle Mimi nachangia nguruwe 10, naomba niwe Makamu wako
#NoReformsNoElection ndio mpango mzima
#FreeTunduLissu ili tuungane naye kula pilau
#Heche ni Tunu ya Taifa alindwe



Tuko ndani ya nyumba
Tuko imara Sisi kanda ya @ChademaSerenget tumeazimia tunapiga Kura kwa Niaba ya watanzania hatufanyi kinyume
#LissuWillFixIt
#heche

Mapema sana kuanzia nje ya ukumbi wa Mlimani City hapa, wajumbe wameamua kuonyesha rangi zao halisi na upande wao halisi. Sauti inayosikikia ni moja tuu #Heche #Lissu. Wajumbe niwakumbushe tu nyie ndio tumaini letu la mwisho. We Need @TunduALissu . We need @HecheJohn .

Last Seen Hashtags on Sotwe
rule34 esp
Seen from Venezuela
รีทวิตนัดเย็ด
Seen from Thailand
Teenagee()+filter:media
Seen from Egypt
ストライカーエウレカ
Seen from Belgium
cltfreaks
Seen from United States
白石杏衣
Seen from Indonesia
นัดเย็ดพิษณุโลก
Seen from Thailand
8floor
Seen from United States
reshmarechu
Seen from Saudi Arabia
Nature
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.2M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.9M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.3M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.5M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
72M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.5M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.9M followers

Bill Gates 
@billgates
64.6M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.1M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers






















