Top Tweets for #mdude
@tanpol Uchunguzi wa #polepole , #soka ,#allykibao #mdude #tundulissu #jumbe #chaula #dionizi #bensanane #azwori mmefikia wapi ,hivi mnadhani haya hatuyaoni na hatuyarecord iko siku majibu ya haya yatapatikana endeleeni tu
Mtaka punguza ushauri ,washable maccm wenzako kwanza tupate katiba mpya na #free #tundulisuu ,#mdude #sokaa #polepole haya mashamba tutayalima sana tu tukiwa na nchi nzuri
Rc anatushauri sana sasa ๐
@MariaSTsehai TUSHUSHE MAKOMBORA HUKO HUKO GENEVA.
Muuaji navmtekaji wa #MDUDE yupo ulingoni- tumpelekee ๐ฅ,tumia anuani ya @UN_HRC๐๐พ:

@Sativa255 Ukweli nipo tanzania ila sikujua ni kwa kiwango gani... Naweza kusema sina hakika ya kumuona #polepole wala #Mdude.... Kile ni kikundi cha kigaidi
...
@MarekaMalili Bro wengine wako kwa ground wakiwasimanga vijana na misemo ya "Tafuta hela"
Ila usiku ni wakabaji na wengine weshalipwa pesa za Mauaji ya kina #Soka, #Bensanane, #Mdude, n.k
So katika hao vijana ishanenwa walipanua Makalio ili wawe na hizo wanaziita mafanikio. Life has a secret
@Sativa255 Wangekuwa na hekima wangewaachia kina #Polepole #mdude na wenzao na hapo ndio wangeanza kuponya taifa.Wakikomaza fuvu watafumuka
@TZMsemajiMkuu Free #polepole ,free #mdude free #soka #free #tundulisu free #heche free #dioniz free #chaula ,
#BreakingNews: Umoja wa Mataifa Waibana Vikali #Tanzania Kuhusu Uonevu Dhidi ya #TunduLissu na Kutekwa Kwa #Mdude. Watishia Kuwaburuza ICC Wavunjaji Wa Haki Za Binadamu Tanzania
https://t.co/hhelU8Sp0Q
#BreakingNews: - Umoja wa Mataifa Waibana Vikali #Tanzania Kuhusu Uonevu Dhidi ya #TunduLissu na Kutekwa Kwa #Mdude. Watishia Kuwaburuza ICC Wavunjaji Wa Haki Za Binadamu Tz
https://t.co/hhelU8Sp0Q
#BreakingNews: Umoja wa Mataifa (UN) Waibana Vikali #Tanzania Kuhusu Uonevu Dhidi ya #TunduLissu na Kutekwa Kwa #Mdude. Watishia Kuwaburuza ICC Wavunjaji Wa Haki Za Binadamu Tz
https://t.co/hhelU8Sp0Q
#BreakingNews: Umoja wa Mataifa Waibana Vikali #Tanzania Kuhusu Uonevu Dhidi ya #TunduLissu na Kutekwa Kwa #Mdude. Watishia Kuwaburuza ICC Wavunjaji Wa Haki Za Binadamu Tz
https://t.co/hhelU8SWQo
@HilmiHilal88 @MariaSTsehai Si kila nchi inaongzwa na muuaji,utekaji,ufiraji wa mateka,Uongo,ufisadi,tamaa,Njaa,anasa Na vifananavyo na hvyo..Na neno Amani haliwezi kuรญshi ktkt ya hayo yote Wananchi sio Mafala..
TUNAWAKUMBUKA SANA.
#SOKA
#MDUDE
#KIBAO
NA WENGINE

Wanatuona kenge kwasababu ya kudai haki #NoReformsNoElection mungu yupo hatatujibu mda siomlefu na moshiumeanza majibu yanakuja tutakuona tena #Mdude kamanda.

@mwigulunchemba1 Sijasikia neno HAKI likiongelewa hapo๐
Home boy wangu #Mdude kapotea yaani katekwa! ! Hivi kweli ntakuwa na amani ipi. Bi mkubwa akumbuke neno AMANI bila HAKI ni sawa na KIPOFU bila FIMBO ya kumwongoza
#Asitutishe Hii Nchi sio ya ukoo wake
@millardayo Sijasikia neno HAKI likiongelewa hapo๐
Home boy wangu #Mdude kapotea yaani katekwa! ! Hivi kweli ntakuwa na amani ipi. Bi mkubwa akumbuke neno AMANI bila HAKI ni sawa na KIPOFU bila FIMBO ya kumwongoza
#Asitutishe Hii Nchi sio ya ukoo wake
Speed Ya Kudai Watueleze Alipo #Mdude Inapungua Siku Baada Ya Siku, Mwisho Wa Siku Tuta Sahau Kama Soka Na Kupuuzia๐ฅน๐๐ฟโโ๏ธ๐ญ Guys Please tuendelee Kupaza Sauti #Freemdude
@mwigulunchemba1 Mama yake #Mdude hajamuona kijana wake. #Soka wazazi wake hawako naye leo. Dah, life, no balance.
Last Seen Hashtags on Sotwe
masker
ุทุงูุจู
Seen from Saudi Arabia
girl
Seen from Japan
xlii() or nolimit() or momson() or somno()
Seen from United States
kalogerassisters
Seen from Mexico
Chinese hardcore
Seen from Singapore
nolimits filter:videos
Seen from United States
เนเธชเธตเธขเธงเธซเธตเธญเนเธฒ
Seen from Thailand
tits #monkeyapp
Seen from Brazil
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.2M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.9M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.3M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.5M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
72M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.5M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.9M followers

Bill Gates 
@billgates
64.6M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.1M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers
















