Siku haba na haba hujaza kibaba yangu ilifika 1M, sikulala
I was so excited ata nika anza kugift comrades
By asubuhi I was back to thousandaire
Yet watu wanatembea na 300M kwa gari bro
Kwani Mungu shidake huwaga nini?
Some have excess na wengine tuko survival mode shuwally?