Wengi wanapenda kuwatumia KUHE kwa wageni wenye thamani kubwa kwao, hivyo wanatumia kauli ya "nawachinjia wageni wangu KUHE" kama ishara ya kuonyesha umuhimu wao mpaka kuwaandalia KUHE kama kitoweo.
Imani ya wengi ikiwemo wewe kuku wapo nchi kavu tu.
Je ushawahi kujiuliza Ziwani na Baharini kuna kuku?
Nipe sekunde 45 tu.
Watu wengi wanna wanaamini Kuku hupatikana nchi kavu pekee.
Ziwa Tanganyika lipo magharibi mwa nchi ya Tanzania kuna Samaki anaitwa KUHE.
Thread
Kwa waliowahi kumla wanasadiki kuwa Samaki huyu ni mmoja wa Samaki watamu zaidi wenye ladha iliyozidi utamu wa Kuku.
Hivyo wengi wanapendelea kuwaita kuku wa Ziwani au Kuku wa Bahari kwani utamu wao sio wa kawaida.
Wanashauriwa kitumika na vizazi vyote lakini hasa Mama Wajawazito kwani husaidia pia kwa mtoto atakayezaliwa kuwa na uwezo mkubwa kiakili.
Hivyo tunakushauri, Samaki aina ya sangara ni Bora na nzuri kwa Afya yako.
A short thread.
Samaki Sangara na mafuta yake.
Samaki Sangara kama walivyo samaki wengine, anaongoza kwa kuwa na Omega 3 nyingi zaidi.
Hii husaidia mtumiaji wa Sangara kuwa na Afya bora, uwezo Mkubwa kumbukumbu, uwezo wa kufikiri zaidi.
Aina hii ya Samaki