Mwanaume unaejitafuta..
1. Pesa ni chombo, itumie kukujengea utajiri.
Wekeza, Jenga mifumo.
2. Jenga Network sahihi, maisha yanahitaji watu sahihi.
3. Jiboreshe kila siku, Ongeza maarifa, jenga nidhamu na tabia sahihi.
4. Kuwa na mipaka, Heshimu malengo na maono yako.
Promise yourself that, no matter how difficult it gets, you will continue to trust the reason why you started. Don’t lose hope or patience. Good things are hard to get, but easy things disappear easily—and regrets can stay forever.
MAFANIKIO mara nyingi huja kupitia routine.
1. Routine ya kujifunza.
2. Routine ya kujiboresha.
3. Routine ya kuwa stronger kila siku.
Na asubuhi ndio nafasi yako sahihi ya kujenga routine hiyo.
Mwanamke anayekuumiza kichwa Kwa hisia na maisha.
Mwanamke huyo amekwisha andika mwisho wako.
Usijaribu kurekebisha script kaka.
Funga kurasa hiyo Kwa maamuzi Bora kwako na kesho Yako.
Kuwa ghost,Dear Men!
Kwenye kila jambo linalokukabili jifunze kujiuliza:
Suluhisho ni nini?
Acha kutumia nguvu nyingi kulilalamikia tatizo.
Kubali kwamba tatizo lipo alafu anza kutafuta njia ya kukutoa humo.
Usikae ndani ya tatizo ukisubiri litengeneze suluhisho lenyewe.
Tafuta njia ya kuchomoka
Mwanaume IMARA, hazaliwi bali anatengenezwa.
1.Kupitia maumivu.
2. Kupita upweke.
3. Kupitia kufeli.
4. Kupitia kukataliwa.
5. Kupitia kuanguka na kuinuka tena.
Usikimbia MAUMIVU
Maumivu hayakufanyi uwe dhaifu bali yanakujenga.
A pattern I've noticed in successful people: They're all a little bit delusional about their abilities. Not arrogant. Just unreasonably optimistic about what they can figure out. While everyone else is listing reasons why something won't work, they're already trying it. Half the time they're wrong. But the other half changes their life. Reasonable people don't build unreasonable lives.
Dear wafalme,
Wanawake wanakuharibia maisha, usipowaelewa.
Usipoweza kuwasoma, hutoweza kuwaongoza.
Na usipoweza kuwaongoza, upo kwenye matatizo makubwa.
Kupuuzia asili ya mwanamke ukidhani wako ni mwanamke tofauti na wengine ni sawa na kujichimbia kabuli.
Mwisho.
Mwanaume.
1. Kuwa single ni fursa, Itumie vizuri, Jiboreshe, Jenga mifumo, wekeza kwako na jenga maisha unayoyataka.
2. Tengeneza pesa sana, lakini epuka KUJIONESHA, ishi kwa unyenyekevu.
3. Kila siku shindana na wewe wa jana, maana uyo ndo adui wako mkubwa zaidi.
"I am happy because I want nothing from anyone. I do not care for money. Titles or distinctions mean nothing. I do not crave praise. The only thing that gives me pleasure, apart from my work, my violin and my sailboat, is the appreciation of my fellow worker."
-Albert Einstein
Kuna kipindi cha maisha kinaitwa “Isolation Season.”
Ni pale Mungu anaanza kukutenga.
Marafiki wanaondoka.
Mialiko inapungua.
Maisha yanakuwa ya kimya kwako .
Unaweza kufikiri umepoteza watu.
Kumbe unaandaliwa kubeba vitu ambavyo usingeweza kubeba ukiwa kwenye kelele nyingi.
Empty your mind, be formless, shapeless, like water. If you put water into a cup, it becomes the cup. You put water into a bottle, it becomes the bottle. You put it in a teapot, it becomes the teapot. Now, water can flow or it can crash. Be water, my friend
10 Hard Truths Every Man Must Remember:
1. Nice men are used.
2. Shy men are ignored.
3. Weak men are abused.
4. Soft men are pushed around.
5. Patient men are exploited.
6. Ruthless men are respected.
7. Honest men are deceived.
8. Loyal men are taken for granted.
9. Emotional men are mocked.
10. Quiet men are overlooked.
Remember this—and act accordingly.