CCM ni chama cha majambazi,wezi,wauaji,walawiti,wabakaji,waporaji na watu wasiojali kabisa maisha ya wanyonge.
CDM tumekubali kwamba sisi ni omba omba.
Sasa nani anastahili kushika nchi mpaka Sasa jambazi na muuaji au mwenye hekima ya kuomba..??
Wenye kumbukumbu zao tunaomba tusaidieni hii kitu ? alisema kweli haya maneno?
Pamoja sikuwa ninaamini huyu mzee, kama ilisema hii kitu ina maana kunauwezekano saa mbovu ilisoma wakati sahihi
Inasikitisha Kuona Tutazika Akili Nyingi Sana Kaburini Bila Kuzitumia Kama Taifa, Ambazo Zingetusaidia Kutuvusha Kama Taifa!!
Kwa Sababu Tu Akili Hizo Hazikupata Nafasi Ya Kuongoza Nchi Au Kuwa Sehemu Ya Uongozi Au Kwasababu Zinaonekana Ni Akili Za Kipinzani!!
Madaktari na wauguzi ni watu muhimu sana kwenye jamiii…
Ndio maana tutakaposhinda na kuongoza Nchi. maslahi ya madaktari, manesi, wauguzi na walimu wetu yatakua makubwa.
Ni dhuluma kubwa kuwalipa watu wanaoweza kufanya kazi nzuri hii pesa kidogo.
Hongera madaktari.
Mzee Joseph Sinde Warioba.
Makamu wa Rais wa Tanzania
Waziri Mkuu wa Tanzania
Mwanasheria Mkuu wa Tanzania
Wakili Mahakama Kuu Tanzania
Warioba anaona umuhimu wa Tanzania kupata #KatibaMpya. Kuna ng’ombe kazi yake ni kuvaa sare za mbogamboga inasema katiba haileti ugali mezani
I have spent fantastic 4 days in Tanzania 🇹🇿 .
We witnessed beautiful CAF Champions League Quarter-Finals football over the Easter weekend and fantastic fans for both Simba and Yanga plus great atmosphere.
The future is bright for Tanzania football ⚽️ they are on another level in Africa 🌍 after years of hardwork they have made football exciting to watch .
@soka25east