Ugentleman inabidi uwe na kikomo pia. Usijidhalilishe au kujikamua ili mradi tu uonekane gentleman mbele za watu ambao wakishamaliza kukutumia wanakuweka pembeni.
You have a certain value to protect at all costs, donβt jeopardize it.
Hamna mtu anachoshwa na mapenzi kama rafiki wa wapenzi wanaogombana...
Yani yeye hana ushindi kabisa wakigombana anasumbuliwa, wakipatana wanakuwa busy wanamtenga. Ndo maana watoto wanatoka wanafanana nae.π€£
Nyanya ikiwa gengeni ina bei yake, ikiwa shambani ina bei yake, ikiwa 'supermarket' ina bei yake. Klichoibadili bei ni mazingira.
Kuna wakati kubadili mazingira kunaweza ifikisha thamani yako stahiki. π
Hakuna urafiki eneo la kazi.
Fanya kazi, lipwa, then go home.
Usi-overshare maisha yako binafsi.
When money is involved, move smart. Not every smile around you is genuine.π
Ndani ya wiki tu kuanzia sasa sokoni kutakuwa hakugusiki, hapo bado hujagusia safari za kwenda mikoani..daladala nao wanaskilizia. Mbaya zaidi gharama za maisha zikipanda kushuka waga ni kamzozo hata mafuta yakishuka bei!
Kupanda kwa mafuta siyo tatizo la wenye magari pekee, ni mzigo wa kila mtu hata wale wasio na magari watalipia kupitia nauli, bei ya chakula, na gharama za maisha ya kila siku kwa ujumla. Mafuta ndio injini ya uchumi kote duniani, bei ikipanda, kila kitu lazima kipande pia.
Vitu na watu wanaokupa furaha ya kweli maishani mwako sio lazima kuwekwa hadharani; wakati mwingine hulindwa vyema zaidi kwa utulivu na faragha ya moyo, kuliko mwanga wa macho ya wengi.