Kwa Upepo ulivyo, maridhiano pekee ambayo yangewezesha kupunguza machungu ya Watu, manaake kuponya hayawezi, ni kuwapatia watu kile kitu sahihi ambacho ni Legall wanacho kihitaji. Basiiiii
@Sisimizi3 It's sad kwamba vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama vina ongozwa na Intel za kusikia. Na je kama ni kweli walishinda kwa 97% wataongoza kwa njia hii hadi lini?? Wananchi wanahitaji maisha bora, equal distribution of government cakes, na sio mabavu haya
@atienomyname Ni kweli upo sahihi, lakini Urafi na ubinafsi wa watawala ndio unatuweka hapa. Mbona msg wanatutumia wote? Binafsi hata mtu anishauri vipi, siwezi muelewa mwanasiasa kuwa anapambana for my interest and my children interest. Ni wabinafsi mnoooo
@Thommunkondya Yawezekana ni kweli, kila mtu aheshimiwe na Mtazamo wake, for instance; NDANI YA MIAKA SITINI YA UHURU, MBEYA UNAYOIJUA WEWE, WATU WANAPATA MAJI MARA MOJA KWA WIKI, yaani zimetengwa zamu. Ila ukizunguka mitaani watu wanachota maji kwenye Visima binafsi [mabonanza) kwelii hata hil
@masoudkipanya Kaka hii Baskeli ya nje ni ya nani, ya Brother asie na Jina, au ni ya Last born kwamba hata mimi wa mpitimbi naweza panda.π π π π π