@420Cousin@captainbikman Which time are you talking about?Miradi mingi haitekelezeki sio kwasababu serikali inakosa fedha,ama sababu samia hataki big no,Ni kwakuwa hatuwekezi katika utawala bora tunaendekeza sifa za kipumbavu pumbavu tu na tamaa
@Eric__Bernard Bro Ruzuku gani tena?Na kwa bajeti ipi mkuu??Kuna muda nahisi unaandika hivi huku machozi yanakumwagika fala wewe ๐๐Watu tuna bandari ila bado tunafanya comparison na nchi zinazopokea mzigo kupitia bandari zetu ๐๐๐we jamaa
@barakawamb Kadri mnavyotumia nguvu kubwa kutetea hii ndio inatufanya tuone kuna jambo haliko sawa,Haya huku mbele tunasubiri tume tatu nyingine ili haki itendeke ndio linatia mashaka zaidi ni kama unavutwa muda ili tusahau.Guys hizi tume hizi nawaambia kuna watu hawatowajibika.
@Wrath_of_Mikey@Djcave54@jimNjue_ We have many friends from South Africa where we are; we do business and live well together without any problems. I wonder if there wasn't another way to control illegal immigration instead of attacking people like this.
@Sisimizi3 Tunawaonya kila siku huko mnakotamani moto uende hautozima...Acheni kuchochea upuuzi,sisi wengine hatuna kwakwenda ni hapahapa Tz.Masuala ya Dini yatatutoa kabisa kwenye mjadala wa kitaifa...Chagueni agenda za msingi wapigeni spana Chadema na wengine acheni hizi mambo za Dini bro