On 16 Nov 25, I mistakenly sent TZS 900,000 via CRDB SimBanking to a wrong number Despite reporting multiple times, CRDB has failed to refund my money. Every day I’m told tomorrow but never comes. This is frustrating and unacceptable. @CRDBBankPlc, I need action, not promises!
@Deo18Tarimo Huyu dogo ana classmate wenzake hukoo nafikiri wizara husika ingeenda huko kuangalia hali halisi kuboresha mazingira. Hatuwez kuwaleta wote mjini.
DC ni mihemko tuu.
I personally feel my problem is not solved as long it is not solved for the entire community
#malcom x
MCH. GERALD JOHNSON ASIMULIA ALIYOYAONA KUZIMU:
UZI 🧵
🗣️ Kunatisha..!
Mwaka 2016 Mchungaji Gerald kutoka Michigan Nchini Marekani Alisumbuliwa Na Mshtuko Wa Moyo, Alikikaribia Kifo Kiasi kwamba Alijikuta Ameenda Sehemu Ambayo Hakuwahi Kwenda "KUZIMU” Gerald Johnson Anasema..