HUDUMA YA DELIVERY, POPOTE TUNAKUFIKISHIA! π€
Simba wa Bahari, tumeboresha huduma ya delivery, kwa kuongeza Guta nyingi na zitakufikishia mzigo wako hadi mlangoni. Mteja wa Kilimanjaro Star Cargo Sasa unaweza kulipia huduma hii, katika ofisi zetu za
LUMUMBA au wakati unafanya malipo ya mzigo wako.
Tuma uthibitisho wa malipo kwenye namba yetu ya whatsapp, ambayo ni 0746 333 333.
Safirisha na #simbawabahariπ¦,mzigo utakufikia hadi mlangoni kwako kwa Usalama,Uharaka na Unafuu zaidi.
KITUO NI MPENDAE MALL, ZANZIBAR!π
Hizi ndio ofisi zetu ndani ya Visiwa vya Zanzibar. Simba wa Bahari tunakusogezea huduma mpaka mlangoni kwako ili kuzidi kurahisisha huduma zetu za usafirishaji kwa Wafanyabiashara/Wajasiriamali wote.
KITUO NI MPENDAE MALL, ZANZIBAR!π
Hizi ndio ofisi zetu ndani ya Visiwa vya Zanzibar. Simba wa Bahari tunakusogezea huduma mpaka mlangoni kwako ili kuzidi kurahisisha huduma zetu za usafirishaji kwa Wafanyabiashara/Wajasiriamali wote.
Simba wa Bahari tumepata heshima ya kukutana na Waziri wa Viwanda na Biashara, Mh. Judith Kapinga, ofisini kwake JNNC Dar es salaaam.
Tumefanya mazungumzo yenye lengo la kuimarisha ushirikiano, kukuza biashara
SIMBA WA BAHARI TUNAWATAKIA WATANZANIA /WAFANYABIASHARA/WAJASIRIAMALI WOTE MAADHIMISHO YA 50 SABA SABA (7'7) 2026
Leo ni siku Muhimu ya kilele ya Maonesho haya ya 50 ya Wafanyabishara Kitaifa, Maonesho ya Saba Saba, tumeendelea kukutana na wateja wetu pamoja na wateja wetu
wapya ambao wamechagua huduma zetu kwa mikono miwili.
Simba wa Bahari tupo kwa ajili ya kuwasaidia zaidi Wafanyabiashara/Wajasiriamali katika swala zima la usafirishaji mizigo, kutoka China, Dubai, Turkey,USA na India.