@Tinahcristiaan Bwa mdogo Neva wa kunyumba,mtani wangu yule songea 1 team confidence imeshuka nao wametukimbia.....wachezaji wana msemo wao kuwa inashuka team suo wachezaji.
@Mchinagraphics Huoni role ya mamlaka hapo kwamba kungekua na uadilifu wa kusimamia hyo VTS ya ukomo 80KPH pengine madhara ya hiyo ajali isingekua kubwa kiasi hicho?
@BusesNation Akae vzr na masuka wake asije kuwalisha tena vioo abiria kipande cha Igawa-Uyole maana njombe-songea wanashndana na Manning Nice kuangusha bus.
@hamzaalbhanj I beg to differ brother nimeishi Mzansi kule kuna raw talents zenyewe kabisa yaani pure kasi flavors nahisi problem ni on how to nurture them plus na lifestyle yao ya mtaa hawana mzuka sana wa kutoka nje mtu aksajiliwa mamelodi na soweto giants kamalza anajiachia.