Umoja wa nchi za Ulaya umemuwekea vikwazo bilionea na mmiliki wa klabu ya Chelsea Roman Roman Abramovich kutokana na ukaribu wake wa muda mrefu na Rais wa Urusi Vladimir Putin.
Uamuzi huo una maana ya kuwa sasa mali zake zote zilizoko ndani ya Umoja wa Ulaya zinaweza kukamatwa.
Jana tumeambiwa twende Burundi Leo huyu anadhalilisha watumishi wa umma
Huyu mtumishi amesimama kwa haki yake polisi wanaitwa wanamkamata kwa kosa gani ? Waziri kuweka watu ndani namna hii anatoa wapi hiyo mamlaka ?
#ChangeTanzania
@TunduALissu Wanaharakati wa Tanzania wanajisifia sana kwa mitandaoni yaan me unidanganyi niingie kitaa kukichafua kwa kauli kutoka kwa mtandao jitokeze mbele za watu na toa hisia zako na watu wavae roho ya kupigania wanachokitaka
Wee endelea ku tweet nac tuta andamana kwa ku tweet hivyo hvy
Ukikutana na mtu humu una shida fulani labda ajira akikuletea stori za utoe pesa kwanza achana nae,au mmezoeana kidogo tu eti umkopeshe pesa achana nae..matapeli ni wengi Maisha ni magumu sahivi