Amitabh Bachchan amekaa Simba Sports zaidi ya miaka 10, alichofanya tumekiona tunashukuru ila sasa ni muda wa kuondoka na genge lake la madalali ๐ฎ
Team imejaa kanjanja kila kiongozi, yani kila aliyepale anawaza kuipiga tu Club
Tunahitaji kuanza na sura mpya sio waliopo ๐ก๐ฎ