TAREHE 21 mwezi wa 2 mwaka 2023 Tulimpoteza Mzee wetu Mpendwa Almas Koba Matiga MwanaJeshi Mstaafu.
Leo tumetimiza miaka 2 bila uwepo wako machoni kwetu ila tupo na wewe kiroho ๐๏ธ
Endelea kupumzika kwa Amani Baba Yangu Mzazi tutaonana wakati ukifika ๐๐ป
It's valentine day.. siku ya wapendanao.
Kila sehemu ni rangi nyekundu imetawala.
Kwenye kila mtandao, X, FB, Insta hadi Whatsapp status.. ni valentine inaongelewa. Caption juu ya caption zenye maneno ya kuvutia.
Anyway naishia hapo nisije kuchanganyikiwa
๐ฃ๏ธ Huyu hapa Kocha Mkuu wa Constantine โ Nikiri wazi Simba walikuwa bora katika mchezo wa leo mwanzo nilidhani bila mashabiki ingekuwa nafuu sana kwetu ila umekuwa tofauti kabisaโ
โKwetu Algeria mashabiki ni msaada Mkubwa sana kwa Wachezaji na kipindi cha pili wachezaji wangu .
โKwa maslahi mapana ya Simba kwa kutambua mpira ni mchezo wa hisia, Mimi kama Mwenyekiti wa Bodi nimemwomba Mwekezaji wetu Mohamed Dewji MO arejee kama Mwenyekiti wa Bodi nami nitasalia kama Mwanachama na Kiongozi.
Leo nimejiuzuru rasmi kama Mwenyekiti wa klabu ya Simba
-Jean Othos Baleke(23) anaweza kujiunga na Azam FC kwa mkopo iwapo atafanikiwa kusitisha mkataba wake wa mkopo na Al Ittihad.
Kumekuwa na mazungumzo chanya na Klabu ya Tanzania ambayo inajiandaa kwa msimu ujao CAFCL,
Mkataba na klabu ya Libya ni halali hadi Januari 2025.