Kuna mzigo wa Brown Sugar tani 60,000 (Kilo 60M) unapatikana Dodoma kwa ajili ya wauzaji wa jumla, viwanda, na wasambazaji wakubwa.
🔹 Bei: TZS 2,800 @ Kilo
🔹 Eneo: Dodoma
🔹 Mawasiliano: 0698259520
Kama uko tayari kufanya biashara, piga/tuma ujumbe au DM now kwa maelezo zaidi
@maestrowafact Mkali wade duru za mijuzo zinasema eti ulikuwa ni moja ya thenashara wa mzito Emma baada ya mzito kuacha ndala hekaluni now umekuwa mbogo kwa waKushi na mnene wao malkia sheba
Mathayo 3:14:
“Lakini Yohana akamzuia, akisema, Mimi nahitaji kubatizwa na wewe, nawe waja kwangu?” (Mathayo 3:14, SUV)
Kisha Yesu akamjibu katika Mathayo 3:15:
“Kubali hivi sasa; kwa kuwa ndivyo itupasavyo kuitimiza haki yote.”
Zoezi la Ubatizaji halikuisha kwa Lamine.
Tangu usiku wa tarehe 10 mwenzi wa nne mwaka 2010 nikiwa na miaka 11 nilipoona Messi akiwadhalilisha Arsenal nilisema kama sitaki kumpenda huyu ni vyema nikauchukia mpira kabisa.
HE IS MESSI HE IS GOAT
@MsimbaziNation Mataktiko uchwala ndo wanaompinga huyu Santos ila ni mali kila alipopata nafasi alionesha ana kitu Chelsea walishindwa kumuamini wamekariri mido zao ndo maana walifeli msimu ulioisha