BREAKING: Brazilian President Luiz Inácio Lula da Silva has been discharged from the hospital after undergoing surgery to stop a brain bleed. https://t.co/ii3azrbSgz
Raia wa Japan wana utamaduni wa kuweka QR Codes kwenye makaburi ya wapendwa wao, uki-scan hiyo QR code kwenye kaburi utapata taarifa zote za Marehemu kwenye Mtandaoni.
Hii ikija Tanzania itapendeza sana, Mwendo wa ku-scan QR Codes tu 😃
🇨🇦 is deeply alarmed and saddened by the brutal killing of Ali Mohamed Kibao, and strongly supports President Samia Suluhu Hassan’s urgent call for an investigation. Canada supports the right to freedom of expression, including peaceful assembly within a peaceful and stable 🇹🇿.
Katika Hali ya Kushangaza Rais wa Venezuela Nicolas Maduro ametangaza Sikukuu ya Krismasi isherehekewe Oktoba 1.
:
Kwa kawaida sikukuu ya Krismasi ambayo ni kumbukizi ya kuzaliwa kwa Kristo husherehekewa duniani kote Desemba 25 kila mwaka lakini kwa mwaka huu mambo ni tofauti