@Thereal_Kabote Ukisikia waswahili basi ndio warabu,, yaani Uswahili tunaouona Leo hapa kwetu,, ni copy ya warabu,, wanafiq sana. How dare such high ranked personnel in military act the way it's stated
@Aruatani Iran is fighting the nearest enemies,,, he is attacking America yes,,, if she ignores the corridor standindng agents she will prove a tremendous failure;
@Sativa255 Vijana wa wapi, mjini au vijijini,, au walipota mjini mtawarudisha? Hizi sera hazitekelezeki,, Mrema Lyatonga aliwahi kubeba watu warudi kijijini nahakiweza Leo dar Ina watu 5mil.
Wajiandae, kujijilia na wawekewe mitaji Kwa namna ya utaalamu wao.
@ayubu_madenge Shida ni pale tunapofikili kila mtu anaweza kuwa kiongozi, tukisahau watu wajinga, wapumbavu na vichaa nao huzeeeka. Wengine haifai haijalishi umri nahistoria Yao. Kuishi na kร ribu na mahakama siyo kujua Sheria.
@ayubu_madenge Kwani nani ni smart, mpaka propaganda iwe na u smart? Unagawa dose kutokana na wagonjwa ulionao. Hata wanaokiona smart Bado smartness yao haina tija na hatuioni ndani ya system. Esau alikua smart sanร , ila mbele ya bakuri la dengu.......!
@ayubu_madenge Haya mambo kiongozi wetu alisema, hakuna kiongozi wa dini ambae anaweza aka over run wengine,, au dini sasa papa anazungumzia Kwa mamlaka gani?
@godbless_lema Kwahiyo Marekani Haina uwezo mkubwa kiasi hicho kuvamia nchi na kuchukua Rais,, Bali ni mazingira ya wazi kuwa hata Jeshi halikua tayari kumlinda, kumtetea na kurudisha mashambulizi ukitoa wale walinzi loyal wake nao wakazidiwa Kwa kutokua na taarifa.
@EngMapundajr Kama ukufundishwa na Hawa walimu sijui ulisoma shule Gani, Matovu, kaboja, Buchambi, Na Hawa wote siyo walimu wa shule hizo. Hivyo acha kul'kariri Elimu siyo Majengo,, Sant. Merrys, Francis, Itaga seminary, makoko, Musoma tech nao wasemeje he wa Feza, Azania na makongo