What about you Madam president, .... Are you servicing or administering the people of URT ....!!! Is you a Leader or Administrator!? ... What kind of feedback receiving from people of URT for your Gov...!? Are you really happy!? How do you feel? are you Heartbreaking/buildup ??
#KUMBUKUIZI Tarehe 26.02.2024 #Arusha
"Yaani CCM na uzoefu wote miaka 47 mmeishia kwa BASHITE? Nimemuita BASHITE Jini sio kwa bahati mbaya. Nyie mnamuona mtu mimi namuona jini, sasa hili jini linahitaji kukemewa na upako wa kiAskofu, NITASHUGHULIKA NALO"- Askofu Mwanamapinduzi
Alinyeshewa na mvua lakini baadaye akasema yale maji ni ya mferejini si ya mvua. Mwanasiasa mwaminifu. Anaamini Serikali ni ya mtu si watu.
Stockholm syndrome ni ugonjwa wa kudumu kwa waishiwa, chawa na chanikiwiti kwa ujumla.
"Tunaitaka Serikali iweke kipimo cha ufanisi cha deli la Serikali katika kuondoa umasikini badala ya kutudanganya kwamba linalipika au ni himilivu, kwa namba tu za kutunga." Mhe. Ahobokile Mwaitenda, mjumbe wa Kamati Kuu. https://t.co/rCJi0XGIFj