@MarekaMalili Driving senses.
Kuwa na tahadhari na kila hatari pande zote za barabara.
Vijana wa pikipiki na bajaji, wengi wamejifunzia mtaani.
Nina hakika 60% ya wamiliki wote wa vyombo vya usafiri, pikipiki,bajaji na magari binafsi hawana vyeti vya Udereva.
Hawa watu ni mizigo
@George_Ambangil Nimejifunza leo
Guardiola's tenure at Bayern will never be remembered entirely unfavorably. He did too much good there. But football, like any sport, is a goal and results-oriented business. And at Bayern, Guardiola failed to deliver the one result he really needed.
@rollymsouth Ukiingia kwenye siasa utapata Chama, kina Katiba, Sera na Kanuni.
Vilevile kuna vitengo kama Propaganda n.k
Ukishaingia huko unatakiwa muimbe wimbo mmoja. Professionalism inamezwa na nafasi yako katika chama maana hutakiwi uende kinyume na matakwa ya Chama
@fatma_karume Fatma.
Ikiwa Maria hataki familia yake isemwe, basi na yeye aache kuwashambulia watoto wa viongozi waliowahi kupata nafasi kwenye hii nchi.
Maria hana exception yakutokusemwa. Ndio uzuri wa transparency.
Ukitaka kuwa muwazi basi yakifikiwa yako kubali mambo yawe wazi
@rollymsouth Data Intergration iwekwe kati ya NIDA na taasisi, mashirika, mabenki, n.k Angalau itoe taarifa za awali; Majina kamili, picha, Tarehe na mahali yakuzaliwa, na hii ihusanishwe na uthibitisho wa FingerPrint. Yaani uki scan mfumo unakuja na taarifa hizo za awali za utambulisho.
@juliusmassabo@juliusmassabo
Kisiasa saivi nchi inahitaji; political tolerance na political healing, haya yanafanyika kimkakati ili kujenga uaminifu wa kisiasa (political trust) na mikakati ni 2025. Tutaona matukio mengi yakushangaza kuelekea 2025, tukae tayari, tuwe na akiba ya maneno
@UNDERATEDPUNTER Elon has implemented a logic to get rid of BOTS, so it is important for you guys to have Telegram channel because your twitter accounts are getting so much impression in few minutes so they might be suspected as bots and will be suspended.