@SimbaSCTanzania Section 20 of The Land Act,2999 A fnon Tanzanian can not own land unless it is for investment purpose na hapo lazima TIC wahusishwe acheni Utapeli.
@Sativa255 huyo @DANIELNAFTAL NGOGO Hajafanya kazi kubwa kama ya TWAHA, zaid amekuwa mtu wa kuvizia uchaguzi ukikaribia anarudi jimbo la kwela kugombea lakini hashiriki shughuli yoyote ya kujenga chama baada ya hapo yeye ni mtu wa makao makuu pekee Hovyo kabisa.
@fatma_karume sasa jinsia yake inatoa credit gani kwenye Mbio za Urais, kwani ungesema mgombea ni samia haitoshi?
au ndio kusema mambo ya u feminist yamekuzidi?
@MariaSTsehai kwa hili la lowasa, hata TAL mwenyewe supported the idea Lowassa kupeperusha Bendela ya CDM 2015.
TAL aliulizwa na vyombo vya habari wakt ule na kusema kuwa chama kimeridhia hatua ile kupitia vikao.
kuhusu Dr slaa kupinga hatua hiyo TAL alisema tatizo siyo slaa bali first lady.
@Rubibi_idrisa TAL alsema Hajawah kuwa na Ndot kuwa m/kit,n kpindi hicho it's all in the Past, Na sasa ana sbb ya Kugombea ili awe mwenyekiti.
elewa kwamba kuto kuwa na ndoto kuwa mtu fulani /kufanya jambo fulani kwa wakati fulani Hakumzui mtu panapo kuwa Genuine reason kuwa ambavyo hakuwaza.
@LembrusMchome@godbless_lema Wewe Jamaa unachuki Binafsi na lema, awe alikuwa yeye /si yeye Muhimu ni Hoja aliyosema ina manufaa kiasi gani, sasa wewe unachofanya Hakina afya kwenye chama bali kina viashiria vya kupandikiza Chuki,
ACHA MARA MOJA.
@nabricsllalana@PMadeleka No it was not Unethical for the Media to publish the news, But the tweet of Counsel Madeleka is what I opine to be Un ethical.
Kwa Watanzania na Wanamageuzi wenye mapenzi mema na CHADEMA na Taifa letu. Kwa vijana wanaotamani kufanya siasa za Upinzani kwa miongo kadhaa ijayo. Lissu is the way! Hawezi kuwa mkamilifu kama Binadamu, lakini ana sifa muhimu kwa maslahi ya CHADEMA na Taifa.