@SB_Ladder@Cpheh_Tshibi Kama ni Durban! Usipotoshe watu huyu ni drug dealer! Kwa mtu alie kaa south Africa atakwambia the way maisha ya pale yanaenda sasa weee endelea kuongopea watu!
Nimemaliza kusoma kitabu cha joffrye Dahmer! Moja kati ya serial killers wakubwa US! Kwenye moja kati ya vitu vilivyo pelekea kuharibu ubongo wake, ni NYETO! Acheni nyeto wazee ni mbayaa mno
Unaambiwa, mezani kwa ruben amorim palikua na offer za team zisizo pungua 10 wakiwemo, madrid, ac milan, Dortmund, ilaa walivyo tokea Manchester United hajajiuliza mara 2! Yeye anawataka Manchester United!
@Labella_Mafia95 Porn industry inalipa sana! Kuna kitu kinaitwa only fans! Nina rafk angu jina simtaji ila ni mtu wa Nigeria, yeye anafanya only fans ilaa sura yake anaiziba ilaa anaokotaa pesa nyingi sana, anasema akifanikiwa kukusanya kiasi furani atafuta iyo acc na kuendelea na maisha mengine
Imagine unafika ofisin, unaambiwa nenda kamuone HR, unafika anakupa barua ambayo ipo signed na CEO mwenyewe, kwamba we appreciate your efforts so decide to increase 3% in your salaries, kama mambo yataenda hv hv in 5 years ntakua billionaire self made๐คฃ๐คฃ
FINAL,
Nimeongezewa mshahara, 3% kwa hapa ulaya me ni moja kati ya watu wanao tokea africa wenye mshahara wa juu zaidi, niliplan nikirud December likizo niachie kazi, ila kwa this amount, let me stay ๐คฃ thanks god for everything
@MiriamMkanaka Tunao ishi ulaya wala hatuja shangaa, kwa mafn umeenda mgahawani ata kama umekua wakwanza kufika afu mzungu akafata mhudumu anaenda meza ya mzungu mwenzie kwanza afuu weee ndo utakua wa mwisho, kumbuka apo wewe ulifika wa kwanzaa