ROSTAM alitusanua kuhusu MAHAKAMA za TANZANIA
Alisema ni MAHAKAMA za MAELEKEZO hakunaga HAKI inashinda mule kama wenye mamlaka hawajataka HAKI haupati kwenye mahakama za TANZANIA
Msikuluzenu wenyewe TAJIRI
MAMA WA KAMBO SKIA
Girishoni najua wewe ndio umepost hii, sasa mfikishie Mama Wa Kambo ujumbe hii: Tumesikia WITO kwa VIJANA. Ila kama BALOZI WA VIJANA ASIYE RASMI, Wanao wa Kufikia “wamening’ata Skio”;
Wamesikia Wito ila bahati mbaya hawatouzingatia, sababu HAWAKUTAMBUI na HAWAKUTAKI.
Pili hawana Mtu yeyote anaye WASHAWISHI, bali wanashawishika kutokana UHALISIA wa HALI ZAO BINAFSI, pamoja na MUSTAKABALI MZIMA WA TAIFA.
Tatu, Hawaichomi Nchi Yao bali wanaikuikomboa kutoka kwa Watawala WEZI, WADHALIMU, WAUAJI, waliokosa UTU na USIKIVU.
Nne, hata wangeichoma, ni MALI YAO! They can USE or MISUSE it as they want. Na UKO SAHIHI Wao ndio WAKULIJENGA TAIFA, so ni sawa tu,if they “DESTROY IT & REBUILD IT” best way they see fit.
YESU alivyoenda kwenye Hekalu la Baba yake (MUNGU) akakuta WATU wanafanya Uovu, Wanauza Pombe, Biashara Haramu na Uchafu mwingine, alikasirika akavunja meza, chupa, chana mapazia, tupa mishumaa, na kufoka sana!! Ni vile BIBLIA inaficha ficha “Ukali wa Maneno” ila ROHO MTAKATIFU alituambia Vijana kuwa MASIHI ALITEMBEZA VITASA MOTO pia, Watu wakakaa. Kumbuka Yesu alikuwa Fundi Selemala, Mikono ilikuwa na nguvu sana sababu ya kuranda Mbao, so “Ngumi Jiwe” jiweni, Twaha Kiduku ProMax.
Sasa YESU ni SISI (VIJANA). WATU wanaochafua Hekalu ni NYIE (WATAWALA). MAOVU ni MATENDO YENU; UTEKAJI, UFIRAJI, UUWAJI, MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA, NEPOTISM, WIZI WA UCHAGUZI, RUSHWA, nk. na HEKALU ni JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. na MUNGU ni KATIBA.
So nasi tunakusihi, acha Ukaidi, tuachie Nchi yetu, tutaijenga upya tutakavyo. Na vijana wanasema usirudie tena kuwadharau na kuwafanya hawana Akili na Hawajitambui. Wamesoma na Wengine bado Wanasoma, na pia Wana Exposure ya Utandawazi!
Ukitaka wakusikilize TUMA UJUMBE KUPITIA WATU HAWA; Dada Maria, Dada Mange, Sativa, Tundu Lissu, John Heche, Jenerali Ulimwengu, Askofu Bagonza, Humphrey Polepole, Nuru Vazi, Habil, Roma Mkatoliki, Mdude Nyagali, Adv. Mwabukusi, Sheikh Issa Ponda, Deusdetus Soka, Ali Kibao, Tito Magoti, Rachel Dangwa, Hilda Newton, Tausi Likokola, Khalifa Said, Larry Madowo, Bishop Gwajima, Davido, Lukamba au CAPTAIN TESHA. 🤣😩
GIRISHONI PELEKA HII
The Leader
Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu, Robert Makaramba atoa tafakari juu tukio la Polisi kuwapiga wafuasi wa CHADEMA katika Mahakama Kuu.
"Nilikuwa nashangaa Polisi ndiye anayepaswa kujua kwamba Mahakama imejaa au ni uongozi wa Mahakama ndiyo unapaswa kusema pamejaa, na kujaa maana yake ni nini?"
Hello, @FIFAcom
I hope this message reaches you well. I am a football fan, and one of my favorite teams in my country is Young Africans Sports Club, commonly known as YANGA.
Our team is led by a president who is also involved in politics. A few weeks ago, he tried to run for a position in his political party but failed to secure it. As football fans, we respected that everyone has the right to be a member of any political party they wish.
On August 12 this year, his political party, in which he had sought a position but failed, held a fundraising event to collect money for their general election campaign to be held this October.
Our club president participated in that fundraising as part of his right to be a member of his party. The problem arose when he announced that he was donating to his political party and claimed that it was our team contributing the money — an amount of $38,000.
Our team consists of people from different political parties, and not all of us support the party to which our president made the donation. By doing so, the president implied, in front of his political party, that the team he leads is entirely composed of members of his party and that we all support it.
OUR RIGHTS HAVE BEEN VIOLATED BY OUR LEADER. We have no one to appeal to in this matter because both his political party and his leadership at the club have been arrogant and dismissive, treating us as if we can do nothing about it.
We are aware that FIFA completely prohibits the mixing of politics with football. As YANGA fans who oppose what our chairman has done, we kindly ask you to help us interpret the rules so that JUSTICE CAN BE SERVED for everyone.
Help us tag FIFA. @FIFAcom
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Hi guys, nimefanya maamuzi magumu. Nimeamua kusitisha ajira yangu ya umbea kwa muda wa miezi 5, nitarudi kwenye umbea November 1 2025. Kuanzia leo for 5 months straight nitafanya siasa tupu!
I think wito wangu hapa duniani ni huu wa kufanya harakati, nashindwa kulala na kuishi kwa raha knowing I can use my platform to make a change. Najua nitapoteza a lot of money ila naamini nitakuwa sawa tu for 5 months plus shemeji yenu ananisapoti 100% kwenye hii decision. Kaniambia kama hii ndio itakupa amani basi fanya for as long as you need to.
Mtakao unsubscribe kwenye app yangu au hapa insta kwenye subscription I understand, kwa mtakaoendelea kulipia Mungu awabariki na ahsanteni na wengine naomba mjiunge kama kuniunga mkono.
Kama mimi mmbea mkuu nimefanya maamuzi magumu ya kuacha umbea kwa miezi mitano naomba na nyinyi Watanzania muingie kwenye mfungo wa umbea kwa miezi mitano. Hakuna kuwa distracted na habari za mastaa mpaka uchaguzi utakapoisha, hata wavue nguo wanye barabarani hatushadadiii, hatuna time. Tunawafungia vioo wasaniii na mimba zao za plastic, na mahusiano yao ya plastic, na pete zao kupotea kiplastic, na kuachana kwao kiplastic na kurudiana kwao kiplastic, na beef za kiplastic. Yani umbea wowote au habari yoyote ya mastaaa kwa miezi 5 ijayo hatutaki. Kila ukioa habari ya umbea sehemu kemea kama unakemea pepo.
CCM wamefanya investment kubwa ili kupambana na vita ya kwenye mitandao maana mitandao ndio imekuwa adui yao mkubwa ambae wanashindwa kumteka. Wameandaa matukio ya mlolongo ya wasaniii kuhakikisha watanzania wanapata burudani mpaka wasahau mateso yao, maumivu yao, malalamiko yao, haki zao, manyanyaso yao.
WATANZANIA for the next 5 months tutadai haki yetu ya uchaguzi wa haki na uchaguzi huru, tutadai reforms ili tupate uchaguzi wa haki. Watanzania tuna haki ya kuchagua Rais tunaemtaka na tuna haki ya kuchagua wabunge tunaowataka ili tupate maendeleo. Tusikubali tena kuchaguliwa Rais na wahuni. Tusikubali kuchaguliwa wabunge na wahuni
Sasa tunahitaji content, naomba wote mjitolee kuleta content za shida, mateso na maisha ya wananchi ambayo hawapati kesi ya taifa. Nitalipia pesa kidogo kwa content zenu.
Sema NO REFORMS NO ELECTION!!!!!!!!
Milio ya risasi za moto imesikika katika Kanisa la Ufufuo na Uzima, Ubungo, Dar es Salaam. Watu hao waliokwenda kumkamata Askofu Josephat Gwajima wamepambana kuvamia chumba chake lakini waumini wameendelea kuzuia asichukuliwe. Waumini hao wamekwenda kufunga barabara ya Morogoro.
Bara la Afrika linatoa ushuhuda mkubwa kwa ulimwengu mzima. Asante kwa kuishi imani yenu katika Yesu Kristo. Ni jinsi gani ilivyo muhimu kwamba kila mbatizwa ajisikie kuitwa na Mungu kuwa ishara ya matumaini katika Ulimwengu wa leo.
@OriginoZee17 Leo mpaka madishi yanajadili ukatoliki! Kazi mnayo, ukatoliki uko mioyoni nasio mitandaoni, mshasema miaka mingi lakini kanisa halijawahi kuteteleka hivyo endeleeni kutafta engagement