Bro sikia kwenye haya maisha lazima hivi vitatu utapitia basi kma sio vyote basi itakuwa kimoja au viwili. Lazima utaDHARAULIWA,utaSALITIWA,utaUMIZWA. that the reality , @amrisaly,@prossoff, @sirjeff_D,@EsirEid wakuu hyo imekaaje
Billionaires lose millions to become billionaires.
Millionaires lose thousands to become millionaires.
Broke people don't want to risk losing anything to become rich.
@amrisaly Kbsa endelea kutuoa madini coz the future of many youth hasa mamen ipo at risk we need to save it kutoka kwenye dhana "geto kali demu aone nimejipta "
@KumbeB60488 Yeah, unakuta mtu ameweka mtaji ndani kwa kununua vitu ambavyo havihitaji
Kwa kisingizio na mentality ya “kuwa na geto kali & nikileta demu aone nimejipata”
Upo kwenye stage ya kujitafuta,
Alafu ndani una
-dining table
-Tv inch 55
-Showcase
-Picha za laki laki kama zote
-kabati la vyombo/nguo
-Dressing table
-kila mavazi mapya yakitoka umeyadaka
Hivi vyote hivi ni vya nini?
Na unakuta unalalamika daladala zimekuwa za kugombania sana au upepo mkali kwenye bodaboda,