@mshambuliaji Serikali gani? Uchaguzi haukufanyika
Huyu mmempa pesa, huyu tunamfuta uanachama leo leo sisi Mkoa wa Iringa.
Ninyi ccm endeleeni na maridhiano na hivyo vyama vya mfukoni. Endeleeni na huo mradi huo haitawasaidia. Iringa mmepata huyo mmoja, je mnajua Iringa ina wilaya ngapi?
@mshambuliaji Kitenge komanyoko. Matako yako wewe ni miongoni waliosababisha genocide ya Oct29, sasa mnaokoteza hawa wapumbavu mnadhani yeye ndiye ataitisha BARAZA KUU? CHADEMA haitashiriki mazungumzo yoyote bila;
> Lissu kuwa huru
> Wasimamizi huru wa Kimataifa
> Uwajibika wa wauwaji Oct29
@benfel67@FeliusFesto@ChademaTZ2@bavicha_taifa Vyama vilivyopewa magari na hongo na ccm kushiriki uchafuzi? Hutwo tuvyama tulikubali kuwa uchafuzi ulikuwa. Huru 100% na haki. Then leo mnaenda kuridhians nini??
@FeliusFesto@ChademaTZ2@bavicha_taifa Wewe ni mshenzi. Toka umeenda kwenye ile interview majuzi ulionesha kuwa wewe ni karai, beseni na dodoki la ccm. Matako yako
@kibiki001 Futeni CHADEMA hata leo, kwani mkiifuta ndio mtakuwa mmefuta imani ya Watanzania kwa CHADEMA. Badala yake mtakuwa mmeuwasha moto zaidi. Thubutu kufanya hivyo muone kitakacho fuata.
@mangekimambi Da Mange sisi tuko tayari, we know how to prepare and how to start peaceful demonstrations hata maandamano ya vuta ni kuvute tunaweza. Tuliobaki Oct29 tutaanzia tulipoishia. Mungu akupe ulinzi usimamie hili zoezi la ukombozi na Madam @MariaSTsehai tutapambania Katiba Mpya
@mangekimambi@mangekimambi kumbuka, huto tuvyama mikia ya ccm tuliunga mkono kwa 100% kwa 100% uchaguzi, na kupewa magari na ccm na kutangaza uchaguzi ulikuwa huru na haki
Leo wanaridhiana nini? Wana mgogoro gani?
Vyama visivyoongoza hata mtร a mmoja? Tunafanyiwa futuhi iliyooza kabisa.