Karibu Tukusaidie Kuanzisha Na Kukuza Biashara Yako🚀! Download ‘KUZA BUSINESS’ App Uweze Kurekodi Na Kutunza Taarifa Zako Za Biashara Kama Mauzo Na Matumizi📲
Tulipoanzisha @kuzabusiness, tuliamini jambo moja: biashara nyingi hazikui kwa kuruka hatua, hukua kwa muda.
Kwa miezi ya hivi karibuni tumetembelea maduka mbalimbali Dar es Salaam. Tumekuwa tukisikiliza.
Na sentensi moja imejirudia mara nyingi:
“Ukubwa ni swala la muda.”
Hii nayokupa ni jicho ambalo miaka 5 mbeleni Tanzania hizi Biashara Ndogo zitaenda kuchukua ukubwa wa Biashara kubwa nchini.
Na watu wa Tech wanawasaidia sana hizi Biz ndogo kuwa kubwa.
Now Biashara Ndogo zinatumia System kama @KuzaBusiness na nyingine.
Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imeipa kampuni ya Swahilies Company Limited @swahilieshq leseni ya kutoa huduma za kifedha na malipo Nchini Tanzania.
Kampuni hiyo, ambayo imekuwa ikitoa huduma mbalimbali za kidijitali kupitia majukwaa yake kama @KuzaBusiness, imesema hatua hiyo ni sehemu ya mkakati wa kupanua wigo wa huduma zake kwa lengo la kuchochea ukuaji wa biashara za kidijitali Nchini.
Akizungumza baada ya kupewa Leseni hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa Swahilies Company Limited John Haule, amesema, “tunaishukuru Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kwa ushirikiano mkubwa katika kipindi chote cha mchakato wa kupata leseni hii, tunaamini hii ni hatua muhimu kuelekea kuleta mapinduzi makubwa kwenye huduma za malipo Nchini Tanzania,” amesema John Haule. #MillardAyoUPDATES

Pale @KuzaBusiness tumezindua “Kuza Wakala”. Ukisajili mteja na akalipia unapata 25% ya kifurushi chake.
Vifurushi vyetu vya sasa;
45,000 Kwa Miezi 3 (Kila Mteja akilipa wewe unapata 11,250 TZS kwa kila mteja)
67,000 kwa miezi 6 (Kila Mteja akilipa wewe unapata 16,700 TZS kwa kila mteja)
117,000 kwa mwaka (Kila Mteja akilipa wewe unapata 29,250 kwa kila mteja)
Kama upo interested! Nitumie ujumbe whatsapp 0682411725 nikupe muongozo chap!
Kuna biashara zinamzunguko mzuri wa biashara lakini hazikopesheki mtaji wa kukua kwa sababu wenye biashara hawana collateral.
Ukitumia @KuzaBusiness kwa angalau miezi 3, tunaweza kukukopesha mpaka milioni 10 kwa ajili ya kukuza biashara bila kuweka rehani kitu chochote kama nyumba yako au gari lako.
Taarifa zako ni collateral yako! Karibu @KuzaBusiness .
Safari Ya Ukuaji 20/100 .
Leo tupo na @jedu_hardware_iringa_mjini biashara yao inakua kwa kasi sana.
@kuzabusiness tuliwauliza swali moja; kitu gani kinawafanya waamini ukubwa ni swala la muda tu?
Hii ni hadithi yao.
Ukubwa Ni Swala La Muda Tu.
#UkubwaNiSwalaLaMuda
Safari Ya Ukuaji 17/100 .
Leo tupo na @the__bugas @thebugas_moca , biashara yao inakua kwa kasi sana.
@kuzabusiness tuliwauliza swali moja; kitu gani kinawafanya waamini ukubwa ni swala la muda tu?
Hii ni hadithi yao.
Ukubwa Ni Swala La Muda Tu.
#UkubwaNiSwalaLaMuda
Safari Ya Ukuaji 16/100 .
Leo tupo na @josh_smartphones_shop , biashara yao inakua kwa kasi sana.
@kuzabusiness tuliwauliza swali moja; kitu gani kinawafanya waamini ukubwa ni swala la muda tu?
Hii ni hadithi yao.
Ukubwa Ni Swala La Muda Tu.
#UkubwaNiSwalaLaMuda
Last month, @SwahiliesPay partnered with Mtaji Wetu Finance Tanzania Ltd to introduce financing, the most requested feature on our platform @KuzaBusiness .
By combining @SwahiliesPay digital bookkeeping with Mtaji Wetu Finance Tanzania Ltd lending expertise, we are turning business data into access to capital.
Today i had a call with Ally; one of our earliest customers. He runs 4 businesses. Three in Tanzania, one in Zambia. He was literally crossing the border into Zambia when we spoke. One of his businesses is already financed through Mtaji Wetu Finance Tanzania Ltd on @KuzaBusiness by @SwahiliesPay .
As an early user, his feedback is helping us simplify financing for the many SMEs that will come next.
If you work with SMEs in Tanzania and want to help them manage their businesses digitally while unlocking access to financing, let’s connect.
Biashara Nyingi zinafeli Tanzania Kwasababu ya Kukosa Kufanya Customers Orientation.
Program ya @kuzabusiness itakusaidia Kurekodi Mauzo ya Biashara yako na Kutunza Rekodi za Wateja Wako Ili Kurahisisha Kuwafanyia Follow-up.
Download Sasa AppStore Kwa Simu za IOS / Playstore Kwa Android.
Kuza Business APP Biashara Kidigitali.
Safari Ya Ukuaji 15/100 .
Leo tupo na @artsplash_hub , biashara yao inakua kwa kasi sana.
@kuzabusiness tuliwauliza swali moja; kitu gani kinawafanya waamini ukubwa ni swala la muda tu?
Hii ni hadithi yao.
Ukubwa Ni Swala La Muda Tu.
2. Hauweki Record kwenye biashara yako.
Pesa iliyoingia, iliyotoka, matumizi, anayedaiwa, Kodi na bills za hapa na pale.
Hapa @KuzaBusiness watakusaidia ku track record ya mauzo na matumizi ndani ya biashara yako mwaka mzima. Wapo vizuri
Safari Ya Ukuaji 14/100 .
Leo tupo na @theheartstrings_giftshop , biashara yao inakua kwa kasi sana.
@kuzabusiness tuliwauliza swali moja; kitu gani kinawafanya waamini ukubwa ni swala la muda tu?
Hii ni hadithi yao.
Ukubwa Ni Swala La Muda Tu.