Mwenyekiti wa UVCCM Nd. Heri James tayari ametegua kitendawili cha September 7, 2017. Kama kuna mtu alikuwa hajui nani walompiga risasi Tundu Lissu Heri James anasema "safari hii hawatumia nguvu ya kumimina marisasi mengi watamdunga sindano ya sumu tu"
Kwa kuwa Meko umetusumbua sana na mameseji yako yasiyo ya lazima halafu ume lock tusikujibu !
Sawa sasa ni hivi anayetaka kumjibu namba zake hizi hapa;
๐0757 559 999
๐0687585100
๐0685000014
Kama ikizidiwa hiyo ya voda mtumieni kwenye TTCL na Airtel ziko wasapuu ๐คฃโ๏ธ
Kuelekea siku za mwisho za ratiba ya kampeni, napenda kutoa shukurani za dhati kwa wote waliotuunga mkono, na kuomba mchango wenu uendelee ili tumalize kwa kimbunga kile kile.
Retweet ๐ tufikishe ujumbe huu kwa wote wanaojali haki.
#ChaguaLissu#ChaguaCHADEMA#NiYeye2020
Hili tukio walau tumefanikiwa kupata video. Kuna matukio mengi ya hovyo sana yanayofanywa bila kuonekana. Polisi wetu wanafanya mambo ya kinyama kama yaliyofanywa na makaburu kwa watu weusi. wanalazimisha kukibeba chama ambacho wananchi wamekichoka sana. Mwisho wa uhuni huu 28/10
Haya yamefanyika jana usiku Chato, hapa ni nyumbani kwa mgombea wetu wa ubunge jimbo la Chato. Ikumbukwe leo Mh @TunduALissu atakua Chato kuzungumza na wananchi.
Mnh! what kind of love is this...
What if you break my hands now!๐....Mnh! Mapenzi haya hapana kwakweli, mwishowe tuvunjane vikono bure na Shughuli iishie hapo apo...
Wahi kuwapenda na kuwathamini wanjeshi ndiyo maana amekuwa nalitumia jeshi (JWTZ) kwenye mambo yake ya kijinga jinga . Mnakumbuka alivyotumia JWTZ kenda kukusanya na kupora korosho. Hilo siyo jukumu la jeshi na kama mngekuwa na CDF anayejielewa angesema NO.
๐Heshima yenu kama